'Umbea mode of security system' namshauri Samia aitumie

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82.

Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake.

Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya, ingawa anasema hajafika hata robo ya Mwendazake.

Mzee anadai kweli mama anaupiga mwingi, ila ni Kwa masilai ya wachache.

Anasema miradi mikubwa inaendelea na ujenzi ila kwa Nini mzunguko wa fedha ni mgumu?

Anaenda mbali zaidi Mzee ananisimulia yakuwa Mama Kuna kundi la wapigaji. Kila siku anapoingiza fedha linawaza kumpiga na linampiga kweli kweli.

Suluhisho!
Mzee ananisimulia yakuwa enzi hizo akiwa mtumishi wa Ikulu katika utawala wa awamu ya kwanza, yeye anajua Kwanini Nyerere alikuwa anapata taarifa kutoka kwa watu walio nje ya system na taarifa hizo zilizosaidia sana hata pale alipotaka kupigwa walio taka kumpiga yeye alipata taarifa zao kabla ya wao hawajampiga, kumbe alitumia ''Umbea mode of security system''

Katika mfumo huo jukumu la ulinzi, halikuwa jukumu la polisi, jeshi au Usalama pekee Kila mwananchi aliwajibika na kupeleka taarifa moja kwa moja kwa Rais, sio sasa hivi unapata. Tips ukienda Ikulu Mama anakwambia mwone mtu fulani kana kwamba yeye ni jiwe la dhahabu lisilo faa kuguswa.

Msomaji sio maneno yangu, (Naomba nitoe tafadhali, kwako kijana mwenzangu hacha kudharau watu Mimi sikujua ningeweza KUKUTANA na kizee kama hiki Kwa sadara na kunipa mambo mazito mazito)

Mzee anadai Rais Mwendazake alitaka kuirudisha mifumo hiyo ila kabla ya kuirudisha aliowaita vijana wake ma kuwauliza wameshindwa kazi Ili atumie umma, kupata taarifa? Vijana nasikia walikataa na kumwomba wajitafakari, yaliyojiri Kila mmoja wetu ni shahidi, Magufuli kwenye ziara zake zote alikuwa anapewa taarifa nyeti siku mbili kambla ya kufika eneo la tukio, sio tu kuhusu Kero za wananchi Bali mpaka tabia za ovyo za viongozi.

Ubaya wa mfumo wa sasahivi na hathari zake.
Kabla ya kuelezea madhara, nitolee mfano wa Taarifa ya Mmiliki wa Gazeti la jamhuri ndugu Balile juzi mbele ya Makamo wa Rais, yule bwana alimwambia Makamu yakuwa anampa taarifa ambazo tayari walisha zifikisha kwenye vyombo vyote vya ulinzi na Usalama lakini hakuna kilichofanyika, na anamsisitizia yakuwa vyombo hivyo hata Makamu wa Rais havijampa hiyo taarifa ila yeye anasisitiza atampatia taarifa anampa taarifa (ni aibu raia kuumbua vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama.)

Kisa kingine, (Zanzibari) miaka kadhaa iliyopita nakili kabla ya utawala wa Raia wa Sasa, niliwai shuhudia bwana mmoja (mshenzi), akimnajisi mtoto wa kiume pahala fulani Kwa macho Yangu, nilichukia hatua za kupeleka taarifa hizo Kwa chombo kimoja nyeti Ili wamchukulie hatua, huwezi amini muhusika alifatwa na afisa kutoka chombo hicho na kunaswa makofi mawili uku akimuuliza vipi "KITAMU" Mimi nilijua anaumuuliza kibao alichomnasa kitamu au la? Kumbe alikuwa akitaka kujua kile kitoto ni kitamu?

Huwezi amini, miaka Saba mbele nikirudi zanzibari na kukuta yule Afisa akiendeleza ushenzi ule Kwa kile kitoto (yaani Mimi nilimuunganishia?) nilikasirika sana Ile tabia nakumbuka wakati huo nilikuwa Bado kijana sana niliamua kupeleka taarifa Ile Kwa mhariri mmoja wa gezeti lilirokuwa linachapishwa bara ila lilikuwa likiuzwa sana zanzibari, (siitaji GaZeti).

Niliumia sana mhariri yule Ile habari akaitia kapuni akamtafuta Mhusika na kumpa habari Ile yeye akala kitengo yule Mhariri, mie nikaishia kufukuzwa zanzibari (hiki ni kisa Cha kweli sifi Leo nakisimulia).

Mwaka mmoja Kuna pahala palikuwa panajengwa mradi mkubwa wa serikali ulio galimu Matrioni ya fedha. Mimi kama Mzee wako, Kwa miaka yote ya utumishi wangu ndani ya Ikulu ya magogoni hakuna aliyejua Mimi nafanya kazi Ikulu, kamwe na ilikuwa mwiko, Sasa wakati nimestaafu Niko Kijijini kwangu usiku wa manane niligongewa mlango na kijana aliyejitambulisha yakuwa ni injinia wa manispaa akiomba kuongea na Mimi, nilimwitikia uwezi amini yule kijana alikuwa hanijui na mimi simjui, ila usiku wa manane, kijana alikuja na viroba viwili vya pesa akiomba viifadhiwe kwangu Kwa ajili ya malipo ya watumishi wa mradi, amezitoa benk na muda umeenda hawezi zirudisha na watumishi wa mradi wameisha ondoka, nilikubali akaweka viroba vile.

Kwa kuwa Mimi ni mtu wa mfumo, niliwasiliana na vijana nilio waacha kazini wakaja kwangu nikawapa ule mzigo, wakaondoka nao, kulipo kucha alipo fika yule injinia, nikamwambia afate pesa idara fulani maana walizifata fedha zile usiku, yule kijana KUSIKIA idara Ile alikimbia kama kichaa hakuwai kufata feda zile na yule kijana aliyezichukua kwangu, nae akawa ameamishwa wilaya akarudishwa Kijijini kwao, mwaka Jana nimekutana nae anaburuza gari matata, miwani juu hata salamu hajipi.

Kuna uwezekano H Polepole akawa na habari nyingi na nyeti kutoka kwenye mfumo, kuliko alizo nazo Rais maana wanao zitenda dhambi ni walio mzunguka.

Nawatakieni Wana JF Happy New Year
Niiishie hapo kijana wangu!
 
Huwezi kuendesha nchi ya watu milioni 60 kwa mfumo wa ki-umbea wa kila mtu kumpelekea taarifa Rais nchi ikafanikiwa. Utafanikiwa tu endapo utakuwa na katiba nzuri, taasisi na mifumo imara.
 
Bila katiba nzuri hatutoboi hata kama Rais atasikikila kila mtu katika watu milioni 60.
 
Kwamba kuna miradi mikubwa na mzunguko wa pesa umekuwa mdogo, umesahau wakati wa huyo mwendazake mzunguko ulivyokua finyu wananchi wakilalama "vyuma vimekaza"? Mzunguko wa fedha ulikuwa hafifu saana wakati wa mwendazake, anaye dai mzunguko ulikuwa zaidi wakati wa mwendazake bila shaka atakuwa na shida ya kumbukumbu.

Miradi ya maendeleo kuwanufaisha wachache? Huyo mzee amekupa stori za vijiweni, ajabu kabisa madaraja, barabara na mengineyo iwe ni manufaa ya wachache?

Kuwa raisi hana taarifa, hapati taarifa ?? Hujui ukubwa na unyeti wa taasisi ile. Na huyo mzee wako alikuwa "akikufunga kamba na kukuokota".

Rais wa taifa hili anavyo vyombo ambavyo kazi yake ni kukusanya taarifa na kumuhakikishia rais anazipata ipasavyo kumsaidia kufanya maamuzi ayafanyayo kila siku, taasisi ambazo zina nyenzo na jukumu mahsusi kuhakikisha raisi ana zaidi ya taarifa anazozihitaji, kwake yeye binafsi, na kwa washauri wake kuwawezesha kumshauri sawasawa. Stori za vijiweni kuwa polepole ana taarifa zaidi ya rais ni porojo za debe tupu.
 
Kwamba kuna miradi mikubwa na mzunguko wa pesa umekuwa mdogo, umesahau wakati wa huyo mwendazake mzunguko ulivyokua finyu wananchi wakilalama "vyuma vimekaza" ? Mzunguko wa fedha ulikuwa hafifu saana wakati wa mwendazake, anaye dai mzunguko ulikuwa zaidi wakati wa mwendazake bila shaka atakuwa na shida ya kumbukumbu.
Miradi ya maendeleo kuwanufaisha wachache? Huyo mzee amekupa stori za vijiweni, ajabu kabisa madaraja, barabara na mengineyo iwe ni manufaa ya wachache?
Kuwa raisi hana taarifa, hapati taarifa ?? Hujui ukubwa na unyeti wa taasisi ile. Na huyo mzee wako alikuwa "akikufunga kamba na kukuokota". Rais wa taifa hili anavyo vyombo ambavyo kazi yake ni kukusanya taarifa na kumuhakikishia rais anazipata ipasavyo kumsaidia kufanya maamuzi ayafanyayo kila siku, taasisi ambazo zina nyenzo na jukumu mahsusi kuhakikisha raisi ana zaidi ya taarifa anazozihitaji, kwake yeye binafsi, na kwa washauri wake kuwawezesha kumshauri sawasawa. Stori za vijiweni kuwa polepole ana taarifa zaidi ya rais ni porojo za debe tupu.
Wabheja nkoi,ngojea mvua inyeshe tuone panapo vuja
 
Issue sio taarifa issue ni kuchukua hatua.

Hakuna wizi unaoweza kufanyika system zisijue, shida ni system zenyewe ziko corrupted na kwenye kila wizi basi hao hao wenye mamlaka ya kuchukua hatua kuzuia au vyovyote vile nao walewale.

Taasisi ya Urais imedhidiwa nguvu na wahuni na ndio wenye maamuzi na kiti, taasisi haina namna inabidi itulie.

Wahuni wana chain ndefu na ukiwa kwenye chain yao ni mwendo wa kusosomola na hakuna atakayekubabaisha.

Ufumbuzi pekee ni kuwa na taasisi imara ya Urais na mifumo yake yote iishi kwa misingi.
Kwa Tanzania kufanikisha hili inabidi wananchi waidai nchi yao kwa kuingia barabarani.
 
Nikiwa nimechili zangu, kidume Sina hili wala lile maeneo ya Kwa Sadara ghafla anatokea Mzee anae kadiliwa kuwa na miaka zaidi ya 82.

Mzee ni wa makamo ila anaonekama kuwa very upstea kichwani mwake.

Katika mazungumzo yetu Mzee anamsifia Rais wa awamu ya sita Kwa mengi mazuri anayoyafanya, ingawa anasema hajafika hata robo ya Mwendazake.

Mzee anadai kweli mama anaupiga mwingi, ila ni Kwa masilai ya wachache.

Anasema miradi mikubwa inaendelea na ujenzi ila kwa Nini mzunguko wa fedha ni mgumu?

Anaenda mbali zaidi Mzee ananisimulia yakuwa Mama Kuna kundi la wapigaji. Kila siku anapoingiza fedha linawaza kumpiga na linampiga kweli kweli.

Suluhisho!
Mzee ananisimulia yakuwa enzi hizo akiwa mtumishi wa Ikulu katika utawala wa awamu ya kwanza, yeye anajua Kwanini Nyerere alikuwa anapata taarifa kutoka kwa watu walio nje ya system na taarifa hizo zilizosaidia sana hata pale alipotaka kupigwa walio taka kumpiga yeye alipata taarifa zao kabla ya wao hawajampiga, kumbe alitumia ''Umbea mode of security system''

Katika mfumo huo jukumu la ulinzi, halikuwa jukumu la polisi, jeshi au Usalama pekee Kila mwananchi aliwajibika na kupeleka taarifa moja kwa moja kwa Rais, sio sasa hivi unapata. Tips ukienda Ikulu Mama anakwambia mwone mtu fulani kana kwamba yeye ni jiwe la dhahabu lisilo faa kuguswa.

Msomaji sio maneno yangu, (Naomba nitoe tafadhali, kwako kijana mwenzangu hacha kudharau watu Mimi sikujua ningeweza KUKUTANA na kizee kama hiki Kwa sadara na kunipa mambo mazito mazito)

Mzee anadai Rais Mwendazake alitaka kuirudisha mifumo hiyo ila kabla ya kuirudisha aliowaita vijana wake ma kuwauliza wameshindwa kazi Ili atumie umma, kupata taarifa? Vijana nasikia walikataa na kumwomba wajitafakari, yaliyojiri Kila mmoja wetu ni shahidi, Magufuli kwenye ziara zake zote alikuwa anapewa taarifa nyeti siku mbili kambla ya kufika eneo la tukio, sio tu kuhusu Kero za wananchi Bali mpaka tabia za ovyo za viongozi.

Ubaya wa mfumo wa sasahivi na hathari zake.
Kabla ya kuelezea madhara, nitolee mfano wa Taarifa ya Mmiliki wa Gazeti la jamhuri ndugu Balile juzi mbele ya Makamo wa Rais, yule bwana alimwambia Makamu yakuwa anampa taarifa ambazo tayari walisha zifikisha kwenye vyombo vyote vya ulinzi na Usalama lakini hakuna kilichofanyika, na anamsisitizia yakuwa vyombo hivyo hata Makamu wa Rais havijampa hiyo taarifa ila yeye anasisitiza atampatia taarifa anampa taarifa (ni aibu raia kuumbua vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama.)

Kisa kingine, (Zanzibari) miaka kadhaa iliyopita nakili kabla ya utawala wa Raia wa Sasa, niliwai shuhudia bwana mmoja (mshenzi), akimnajisi mtoto wa kiume pahala fulani Kwa macho Yangu, nilichukia hatua za kupeleka taarifa hizo Kwa chombo kimoja nyeti Ili wamchukulie hatua, huwezi amini muhusika alifatwa na afisa kutoka chombo hicho na kunaswa makofi mawili uku akimuuliza vipi "KITAMU" Mimi nilijua anaumuuliza kibao alichomnasa kitamu au la? Kumbe alikuwa akitaka kujua kile kitoto ni kitamu?

Huwezi amini, miaka Saba mbele nikirudi zanzibari na kukuta yule Afisa akiendeleza ushenzi ule Kwa kile kitoto (yaani Mimi nilimuunganishia?) nilikasirika sana Ile tabia nakumbuka wakati huo nilikuwa Bado kijana sana niliamua kupeleka taarifa Ile Kwa mhariri mmoja wa gezeti lilirokuwa linachapishwa bara ila lilikuwa likiuzwa sana zanzibari, (siitaji GaZeti).

Niliumia sana mhariri yule Ile habari akaitia kapuni akamtafuta Mhusika na kumpa habari Ile yeye akala kitengo yule Mhariri, mie nikaishia kufukuzwa zanzibari (hiki ni kisa Cha kweli sifi Leo nakisimulia).

Mwaka mmoja Kuna pahala palikuwa panajengwa mradi mkubwa wa serikali ulio galimu Matrioni ya fedha. Mimi kama Mzee wako, Kwa miaka yote ya utumishi wangu ndani ya Ikulu ya magogoni hakuna aliyejua Mimi nafanya kazi Ikulu, kamwe na ilikuwa mwiko, Sasa wakati nimestaafu Niko Kijijini kwangu usiku wa manane niligongewa mlango na kijana aliyejitambulisha yakuwa ni injinia wa manispaa akiomba kuongea na Mimi, nilimwitikia uwezi amini yule kijana alikuwa hanijui na mimi simjui, ila usiku wa manane, kijana alikuja na viroba viwili vya pesa akiomba viifadhiwe kwangu Kwa ajili ya malipo ya watumishi wa mradi, amezitoa benk na muda umeenda hawezi zirudisha na watumishi wa mradi wameisha ondoka, nilikubali akaweka viroba vile.

Kwa kuwa Mimi ni mtu wa mfumo, niliwasiliana na vijana nilio waacha kazini wakaja kwangu nikawapa ule mzigo, wakaondoka nao, kulipo kucha alipo fika yule injinia, nikamwambia afate pesa idara fulani maana walizifata fedha zile usiku, yule kijana KUSIKIA idara Ile alikimbia kama kichaa hakuwai kufata feda zile na yule kijana aliyezichukua kwangu, nae akawa ameamishwa wilaya akarudishwa Kijijini kwao, mwaka Jana nimekutana nae anaburuza gari matata, miwani juu hata salamu hajipi.

Kuna uwezekano H Polepole akawa na habari nyingi na nyeti kutoka kwenye mfumo, kuliko alizo nazo Rais maana wanao zitenda dhambi ni walio mzunguka.

Nawatakieni Wana JF Happy New Year
Niiishie hapo kijana wangu!
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom