tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rapa (Atalaku), (Pitshou Lisimo) wa Wenge BCBG ampata Msaidizi wake Tishio Fusee De Guere

    Baada ya kufariki kwa kushtukiza kwa rapa namba mbili wa Wenge BCBG yake JB Mpiana aitwae Faustine Nzinga Yankobo (jina la Kimuziki CELLULAIRE) ilichukua muda mrefu kumpata mrithi wa kumsaidia rapa (Atalaku) Kiongozi Pitshou Lisimo ( jina la Kimuziki GENTAMYCINE ) ila kwa sasa ameshapatikana...
  3. nipo online

    JamiiForums Tanzania Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa akili tishio nchini, wagonjwa 30-70 wanapokelewa Mirembe kila siku

    Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku. Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Polisi Tunduru wazuia mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo kutokana na kuwepo matishio ya ugaidi

    Mnatuzuga
  6. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania SoC02 UKIMWI siyo ugonjwa tishio tena, magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa, tuchukue tahadhari

    Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
  7. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la afya ya akili chanzo cha ongezeko la vitendo tishio kwenye jamii

    Matatizo ya afya ya akili ni nini? Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  9. UNCLE THREE

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua stahiki dhidi ya ongezeko la joto duniani

    MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

    Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki. Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Yuan Wallet inaweza kuja kuwa tishio kubwa kwa dunia ya sasa

    Wachina wanatafuta mbinu yoyote ili kuzibiti dola na vijidola au pesa za madafu pamoja na hizi zinatoka kuleta mgogoro wa vita ya tatu. Kuna mada nieleza kuhusu mfumo wa Yuan wallet jinsi itakavo kama Benki kuu za nchi zote na benki ya dunia ila ikueleka kutokana na maelezo kuwa magumu. Dunia...
Back
Top Bottom