chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Wachina wanatafuta mbinu yoyote ili kuzibiti dola na vijidola au pesa za madafu pamoja na hizi zinatoka kuleta mgogoro wa vita ya tatu.
Kuna mada nieleza kuhusu mfumo wa Yuan wallet jinsi itakavo kama Benki kuu za nchi zote na benki ya dunia ila ikueleka kutokana na maelezo kuwa magumu.
Dunia ya sasa hipo kwenye mtindo wa kitu kinaitwa Debt au DATA BASE MONEY yani kama unavotumia simu yako kwenye M-PESA,AIRTEL na n.k kisha unapata pesa au kuwa card kisha ukaenda ATM ukapata pesa.
Mfumo wa Yuan wallet unamilikiwa na benki kuu ya china kwa sababu ya kuzibit mzunguko wao wa pesa kwenye data na sio makalati kama tulivozoea.
Mfumo wa Yuan Wallet utaweza kuzibiti data ya pesa yoyote hata kama imetoka magurumbashi itapimwa thamani yake kulingana na Yuan ila benki kuu ya china itabaki na data ya pesa yenu.
Siku mkiomba msaada wa mkopo basi itawapa pesa yenu.
Labda ni eleze kwa ufupi histori kwa nini kuanzishwa kwa Yuan wallet:
Miaka ya nyuma China ilijikita kuozi dollar ya kimarekani bila kutoka nje na kufanya wafanyabiashara wengi kwenda na dollar mpaka ikawa inashikilia pesa hiyo kwa kukopesha na mambo mengine ya kijamii.marekani ilipoona hivo ikataka kubadilisha series ya pesa na kuishusha thamani series iliyokuwa inatumika.ndipo china alitumia njia ya busara kuweka kwenye mzunguko.
Tunafahamu kwa sasa china kashikilia asilimia kubwa soko la dunia kwenye kila maitaji.
Je, yeye atafanyeje ili kuzibiti japo pesa yake itaweza kupambana na dollar.
Pesa ya Yuan iwezi kuvuka boda ukilinganisha na mzunguko wa dollar unavoweza kutumia dunia nzima.
KITU GANI ANACHO FANYA KWENYE YUAN WALLET
* Yuan wallet itatumika kwa raia wa china wote ndani na waliokuwa wageni wakiwemo China.
* Yuan wallet italinda mzunguko na thamani kubwa ya pesa yao uku ukilinganishwa kutokana na soko la kigeni thamani yake.
Mfano una laki 9 hipo CRDB ni Tsh ila unataka kulipia bizaa China, China hatakacho fanya hata chukua laki tisa yako kama mfumo wa data kwa mnunuaji na kumkabizi muuzaji yuan itumike ndani .hapa benki ya china itatambua imepokea pesa tsh na itakuwa akiba ya benki kuu yao.na wao wakiitaji kuwalipa nyie kama kununua ndani mwa nchi yenu hawata sumbuka watalipa kwa pesa yenu bila kusumbua BOT (benki kuu) kama watakuwa na backup ya pesa za kigeni ili wapate pesa yenu.
Faida ya Yuan wallet
*Yuan wallet itashikilia pesa zote ulimwengu mzima na itakuwa na nguvu ya Data zote za pesa maana atakuwa ana thaminisha na sio kuconvert mfano:
Kawaida :1 usd =2350 tsh hapa lazima pesa hiwepo pesa kwa pesa benki kwa benki au benki kuu kwa benki kuu.
kwa Yuan:
1 usd = kwenda Yuan (Nachukua hiyo 1usd ) na naingiza kwenye backup yangu kuwa usd hipo Benki kuu ya china ila muuzaji pesa yake ya ndani itakuwa yuan.
Asanteni