tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  2. GENTAMYCINE

    Usifurahie Uteuzi bali Sikitika kwani Dossiers zako zimeonyesha Wewe ni Tishio na waliokuwa nyuma yako

    Tena kama kuna Kipindi unatakiwa uwe makini ni sasa kwakuwa hata akina GENTAMYCINE tulipokuwa Kozi kule Venezuela na Kisiwani Puerto Rico tulifundishwa kuwa ukitaka Kummaliza Adui yako onyesha Upendo na Heshima ya Kinafiki Kwake, Msogeze karibu, Msome, wajue Watu wake wa Mikakati, mjaze Upepo (...
  3. MK254

    Moscow, Urusi ndege 23 zasitishwa safari baada ya tishio la mashambulizi

    Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero..... About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky railways station were also evacuated due to reports of a bomb threat. Source: Russian state-owned news...
  4. BARD AI

    Ripoti KNBS: Uzito Uliopitiliza ni tishio kwa Wanawake wa Afrika Mashariki

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya Kenya kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Umoja wa Mataifa, umeonesha kuna ongezeko kubwa la Wanawake wenye Vitambi na Uzito Uliopita Kiasi. Ripoti imeonesha 45% ya Wanawake wenye kati ya miaka 20-49 wana Viriba Tumbo ikiwa...
  5. MamaSamia2025

    Wanasiasa kutoka CHADEMA wanaoweza kuwa tishio kwa CCM mwaka 2025

    Leo nimeona nitoa maoni yangu kuhusu hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Ingawa upinzani (CHADEMA) kunachechemea lakini bado kuna wanasiasa wa upinzani wana nguvu kisiasa na wanaweza kuwa tishio kwenye uchaguzi dhidi ya Chama Tawala CCM. Binafsi naona wafuatao kutoka CHADEMA bado...
  6. Tukuza hospitality

    SoC03 UKIMWI Bado ni Tishio, Tukuchukue Tahadhari

    VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
  7. Mapuli Misalaba

    SoC03 Rushwa bado tishio kituo cha Polisi Mjini Shinyanga, wananchi masikini wanakosa haki zao

    Kituo cha Polisi kilichopo Wilaya ya Shinyanga hasa Polisi dawati la jinsia kwa kushirikiana na maafisa ustawi wa jamii wameendelea kuchukua rushwa na kuwanyima wananchi maskini haki zao hasa kwenye makosa ya ulawiti, ubakaji na makosa mengine ya jinai. Katika sheria kifungu cha 17 kinasema...
  8. Nyanswe Nsame

    Kuna tishio la kituo cha yatima Ilemela mbioni kufungwa kutokana na Sherali Husein kukishtaki mahakamani kituo akidai alipwe fidia ya milioni mia moja

    KUNA TISHIO LA KITUO CHA YATIMA ILEMELA MBIONI KUFUNGWA KUTOKANA NA SHERALI HUSEIN KUKISHTAKI MAHAKANI KITUO AKIDAI ALIPWE FIDIA YA MILIONI MIA MOJA Hofu imetanda jijini Mwanza miongoni Mwa waislamu kutokana na Sherali na Ndugu yake BIM kuapa na kutamba Kwamba WAtakifunga kituo cha YATIMA...
  9. kbm

    Tatizo la Ugumba kwa wanaume la zidi kuwa kubwa

    Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30 kwa wiki, wakiwamo wanaume. Dk Thomas Kakumbi, ambaye ni mkuu wa kitengo maalumu...
  10. Dalton elijah

    Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani upo kwenye 'tishio ambalo halijawahi kushuhudiwa'-Ripoti yaonya

    CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Waandishi wa habari kote ulimwenguni wanakabiliwa na mashambulizi ambayo hayajawahi kushuhudiwa kutoka kwa serikali, shirika la uangalizi wa vyombo vya habari la Reporters Without Borders (RSF) limeonya. Katika ripoti yake ya kila mwaka, RSF ilisema mamlaka...
  11. jastertz

    Dawa bandia ni tishio barani Afrika. Fahamu namna 3 za kuzibaini

    Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje tembe hizo ni sahihi ama sio feki? Muuzaji sio duka halisi la dawa lililothibitishwa. Hakuna kifungashio...
  12. B

    Arusha: Chui, fisi tishio kwa mifugo

    Wakazi wa Ngorongoro wameeleza kuishi kwa mashaka katika makazi yao kutokana na uwepo wa wanyama wakali ambao wamekuwa wakila mifugo yao. Uwepo wa wanyama kama Chui na Fisi unatajwa pia kuwatia hofu wazazi pindi watoto wao wanapoenda na kurudi shuleni ambako hulazimika kutembea umbali kati ya...
  13. B

    Mwanariadha Gabriel Geay wa Tanzania awa tishio mbio za Boston marathon 17 April 2023

    Boston, Marekani MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023 GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY ! Evans Chebet of Kenya wins back-to-back Boston Marathons, this time in 2 hours 5 minutes 54 seconds...
  14. Mr Why

    Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

    Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
  15. The Sheriff

    Uhuru wa Kidigitali haupaswi kuwa tishio kwa Serikali bali nyenzo ya kuimarisha uhusiano wake na Wananchi

    Uhuru wa Kidigitali ni muhimu sana kwa utawala bora katika karne hii ya 21. Teknolojia ya kidigitali inatoa fursa nyingi kwa watu kuwasiliana, kushirikiana na kushiriki katika masuala yanayohusu nchi yao. Kwa mfano, serikali inaweza kutumia mifumo ya kidigitali kuboresha upatikanaji wa huduma za...
  16. M

    Simba ni timu tishio kwa sasa klabu bingwa, imekamilika kila idara

    Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
  17. O

    Wizi nyumba za ibada tishio

    Matukio ya uhalifu katika nyumba za ibada yamewaibua viongozi wa dini na wanasaikolojia, huku lawama zikielekezwa kwa viongozi hao. Kwa mujibu wa wanasaikolojia, mahubiri yao yamejikita katika masuala ya ndoa, kazi na utajiri badala ya tabia njema. Licha ya utitiri wa nyumba za ibada...
  18. TODAYS

    Katika Picha hawa ni PMC Wagner Group, kikundi tishio kwenye medani za vita.

    Ukiona hiyo nembo popote duniani ujue upo nao eneo hilo au ukute kijana wako kavaa gwanda lao labda kanunua mtumbani ujue anawakilisha hao wajuba. Wanakula kiapo cha utiifu kabla ya kuingia kazini. Wakiwa kazini na behind ni baada ya kumaliza attack two. Mission za hawa jamaa kuna nchi...
  19. K

    Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  20. Kalebejo

    Mwanza: Michango shule ya msingi Kilimahewa tishio

    Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao...
Back
Top Bottom