tishio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nywi nywi nywinywinywi imeisha wapi hadi tunaongea maridhiano na maridhishano? Alisema kusingekuwa na tishio akatishwa hadi akaua

    https://www.youtube.com/watch?v=JhNOoI2tIKw Jikumbushi nywinywi nywinywinywi. Yako wapi. Kumbe rais alituongopea? Je, hapa si muongo kama waongo wengine? Je, haya maridhiano siyo uongo? Je, nani aweza kumuamini muongo?
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China yasaidia Afrika kukabiliana na tishio la UKIMWI

    Desemba Mosi kila mwaka ni Siku ya UKIMWI Duniani. Kaulimbiu ya mwaka huu ni “Imarisha Mwitikio, Tokomeza UKIMWI”, ikisisitiza umuhimu wa kuimarisha mifumo ya afya ya umma, huku ushirikiano wa kimataifa ukikabiliwa na changamoto. Afrika ni bara linaloathiriwa zaidi na UKIMWI. Hivi karibuni...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji 1000+ yaliyofanyika hatuyachukulii kama tishio bali uchizi na makosa makubwa sana

    Mauwaji yaliyofanyika hatuyachukulii kama tishio bali uchizi na makosa makubwa sana.
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  9. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja akini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa

    Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu anayeweza kutekeleza tishio la kutumia nyuklia: Sikioni kichaa hicho kwa TRUMP

    Trump ameitishia urusi kwa kuamuru nyambizi zenye mabomu ya nyuklia zisogee karibu na urusi! Hilo ni tishio kubwa kuliko yote LA kutumia silaha za nyuklia. Putin amepuuza na kuamua kukaa kimya maana anajua kuwa Trump hana jeuri hiyo wala hana kichaa hicho!! Huwezi kuitetea nchi yako kwa kutumia...
  12. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  14. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kelele mitaani tishio kwa wananchi

    Licha ya Sheria ya Mazingira, 2004 kukataza upigaji wa kelele unaosababisha kero kwa Wananchi, bado suala hilo limekuwa kero katika maeneo mbalimbali nchini. Sheria hiyo kifungu cha 3 inatafsiri kuwa kelele ni kila uchafu zi usababishwao na sauti ambayo kwa asili inakataliwa au ile iwezayo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Baada ya tishio ya jihadi ya itikadi ya msimamo mkali, tishio lingine ni kutoka mataifa ya magharibi, wanaitwa LIBERALS.

    Hawa ndio wanao-force watoto wenu wasome vitabu vyenye details za kishoga shoga mashuleni. Hawa ndio wanaoforce uwezekano wa kumbadili mtoto wako jinsia ukihisi tu ana elements za jinsia ambayo sio alionayo. Hawa ndio wanao -force mwanamke afanye abortion kwa namna na wakati wowote aupendao...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

    Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tunajua Humphrey Polepole alipelekwa kuwa balozi sababu alianza kuwa maarufu na angekuwa tishio katika kuteua mgombea wa Uraisi wa CCM wa 2025

    Ukiangalia safu ya watu wa CCM ambao wanaweza kuwa serious na uongozi wa Tanzania na hata mambo ya kifisadi, aliebaki labda ni Humprey Polepople. Sasa uwepo wake ndani ya Tanzania, na ukizingatia jinsi alivyoanza kujipatia umaarufu kwa hoja zake wakati wa zile seminar zake, ilibidi andolewe...
  20. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
Back
Top Bottom