tikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwenu wakulima wa Tikiti: Je hii hesabu ni sahihi kwamba eka 1 unapata milioni 8 net profit?

    Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
  2. Upungufu wa maua jike-Kilimo cha tikiti maji

    Habari wakulima wenzangu, Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka. Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha maua mengi sana lakini maua dume kwahio mpaka sasa matunda yalozalishwa ni machache sana. Hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…