tikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msanii

    JamiiForums Tanzania UPOPO WA TIKITI: Masimulizi ya kisiasa kutoka nchi ya Tongotongo na hatima ya haki katikati meno ya mamba na majqmbia ya wauaji

    UPOPO WA TIKITI: Masimulizi Kutoka Nchi ya Tongotongo Kuna nchi moja inaitwa Tongotongo. Katika nchi hii, kila kitu kinaonekana kwenda taratibu lakini kwa hesabu kali sana. Mitaani, wananchi wanapishana wakiwa wamebeba machungu na matumaini yao. Lakini katikati ya vumbi la barabara na mayowe ya...
  2. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza Juisi ya tikiti maji(watermelon juice)

    Natumaini mkopoa na mna afya njema na wagonjwa Mungu awape shufaa Leo nashare na nyinyi jinsi ya kutengeneza juis tamu ya tikiti maji nzuri na yenye faida nyingi kiafya Mahitaji Tikitimaji kias inategemea na kias unachotaka Vipande vya barafu(ice cubes) Hatua Kata tikiti maji vipande...
  3. Tawire

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya Tikiti kwa Dar es Salaam

    Habari za muda wakuu, Naomba kujua bei ya sasa kwa jumla sokoni kwa tikiti maji, Zinazotarajiwa kuvunwa shambani wiki ijayo,shamba liko Pemba Mnazi Kigamboni. Naomba kuwasilisha.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

  5. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Kwenu wakulima wa Tikiti: Je hii hesabu ni sahihi kwamba eka 1 unapata milioni 8 net profit?

    Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah kuhusu upatikanaje wa faida ya tikiti kwa eka 1.
  6. ASHA NGEDELE

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa maua jike-Kilimo cha tikiti maji

    Habari wakulima wenzangu, Nimelima tikiti ekari mbili na linaendelea vizuri kwani halina ugonjwa wowote mpaka leo siku ya 34 tokea mbegu kupasuka. Changomoto nayoipata kwa sasa ni mmea kuzalisha maua mengi sana lakini maua dume kwahio mpaka sasa matunda yalozalishwa ni machache sana. Hali...
Back
Top Bottom