thread

  1. England National Football Team (Three Lions), Special Thread

    Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza. Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha) Timu hii ipo chini ya...
  2. Special Thread for testimony (Ushuhuda)

    .
  3. Kuna watu hawaandiki serious thread, ila kwenye thread zao kuna mafunzo mengi

    Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
  4. BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  5. Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na uchuuzi wa nazi na samaki na muda wao wa jioni ulipofika walikuwa wakijumuika pamoja kusakata kabumbu na...
  6. Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    .
  7. Special thread: Umwagiliaji moyo

    Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi. I do smoke, I do drink just to get lost in time. Thinking. Stratergzn.
  8. S

    Thread niliyoiweka humu JF miaka mitatu iliyopita imeshughulikiwa! Namshukuru Rais Samia, na tuendelee kusema kupitia JF, tunasikilizwa!

    Miaka mitatu iliyopita, niliweka thread humu JF na kuainisha wazi kabisa jinsi serikali ilivyokuwa ikiwanvunjia Watanzania haki zao za binadamu. Leo hii nina furaha sana kuona hili limesikilizwa! Wakati huo tulikuwa chini nya Raisi Magufuli, lakini niliona kuna haja ya kumweleza ukweli kutokana...
  9. R

    Naona siku mbili hizi Johnthebaptist hujatupia thread hapa JF, kuna nini?

    Wewe ni mmoja wa watunga thread kwa wingi per day, hapa JF. Kuna nini hujatupia? kama siku mbili hivi
  10. Ngoma za kisukuma special thread

    Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini. Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI...
  11. Formula 1 Official Thread

    Welcome to the Formula 1 official thread. Anything related to F1, you are welcome. Teams: 1. Red Bull Racing 2. Ferrari 3. Mercedes 4. Alpine 5. McLaren 6. Alfa Romeo 7. Haas F1 Team 8. Alpha Tauri 9. Aston Martin 10. Williams Timu yangu ni Red Bull Racing.
  12. Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022). HISTORIA Klabu ya Singida Big...
  13. Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  14. Special Thread: Picha mbalimbali za Sensa 2022

    CEO wangu amehesabiwa
  15. Home workout special thread: Uzi maalumu wa Mazoezi unayoweza kufanyia nyumbani

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
  16. Faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF wenzangu, leo ningependa niandike manufaa, au faida niliyopata kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JF. Afu kama kuna mungine au wengine walionufaika na mtandao huu, basi walete...
  17. Mothers' Special Thread

    Hamjamboni wanajamvi? Natumai mpo salama kbsa. Huu uzi Ni maalum kwa ajili ya mama zetu.Tuchukue fursa hii kuwapongeza mama zetu kwa Yale mengi mazuri waliotufanyia mpaka tumefikia Hapa tulipo. Wapo wenzetu ambao kwa Bahati mbaya waliondokewa na mama zao wapendwa na Basi tunawaombea kwa Mungu...
  18. coded and horror photos thread!!!

    thread maalumu kwa ajili ya horror photo za kusisumua na za zenye ujumbe
  19. P

    Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

    Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
  20. D

    Bollywood | Special Thread

    Kwa wapenzi wa Bollywood na matawi yake tungejikusanya hapa kupeana mawili matatu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…