Ngoma za kisukuma special thread

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,912
Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini.

Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI BHUGALAMA, KISIMA, MAMA USHAURI, MWANAKANG'WA, NGELELA. nakuja
 
kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,349
2,710
Nilikua shule fln hv huko mikoa ya pwan kwenye mahafali ya kidato cha sita. Kumbe bwana wanafunzi wameandaa ngoma ya kisukuma kama burudanj mojawapo. Kuna ngoma fln hv maarufu sana, goma lilipoanza tu nlishangaa kuona wageni waalikwa wawili wenye nyadhifa za juu tu, mmoja wa kike na mwingine wa kiume kwa timing tofauti tofauti wanaingia jukwaani pale kuimba na kucheza pamoja na wale wanafunzi.

Ilikua ni bonge la vibe, hizi ngoma za kitamaduni zina vibe fln asikwambie mtu especially kama ulizisikiliza kpnd unakua.

Kwa wahaya kuna hiii "Mtoro" ikiwepo kwenye sherehe watu husahau hata vyeo vyao na kujirusha
 
Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,091
14,198
Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini.

Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI BHUGALAMA, KISIMA, MAMA USHAURI, MWANAKANG'WA, NGELELA. nakuja
Nyimbo za Gude Gude na Ntemi O'Mabala ndo zimenifanya nikijue vizuri Kisukuma. Mwingine ninayempenda ni Kisima (Nyanda Majaba) ila Kisukuma chake kigumu, huwa ananiacha jangwani...
 
sam oldskool

Member
Oct 17, 2014
15
4
Kisima, Gude Gude, Nelemi Mbasando, Bahati bhugarama, Ng'wana kang'wa, Limbu, Bhudagala ila kwa Sasa tuko Nzuki, Lugulu na Mwana majaliwa
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Top Bottom