The Last of Us Series Thread

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,448
16,313
Naweza Kusema Kwa Umbali Mkubwa Sana Hii Ni The Best Videogame Ambayo Imewahi Kupelekwa Live-Action Na Kuwa TV-Series Kwenye Kiwango Bora
20230128_082335.jpg

Leo Tunaanza Na Episode Ya Kwanza Ijulikanayo Kama "When You’re Lost in the Darkness.

PILOT
Episode Ya Kwanza Inaanza Na Mazungumzo Ya Kwenye Televisheni Kuhusu Milipuko ya Virusi Na Pandemics Kwa Ujumla Ambapo Inaonesha Ni Miaka Ya 60. Hata hivyo, Tishio Kubwa Sio Bakteria Ni Fungi.

Kwa Mujibu Wa Daktari Aliekuwa Anazungumza Mahojiano Haya Kama Yaliwafungua Watu Macho. Kimsingi Alikuwa Anazungumziwa Fungi Aitwae Ophiocordyceps Camponoti-floridani, Ambapo Ishu Kubwa Akasema Kuwa Fangasi Huyu Anaweza Mgeuza Mwenyeji Aliemvaa Na Kuwa Kikaragosi Chake (puppet) Na Yeye Kuwa Huyo Puppet! Na Kuwa Anammiliki.

Fmx2uh0WAAEat5N.jpeg

Fmx2vTqXoAAZlxQ.jpeg

Fmx2wB1XEAMVeX6.jpeg
Fmx2wu0XEA0WuvD.jpeg

Yaani Ishu Alioizungumzia Daktari Pale Mwanzoni Mlivyoona. Basi Kiini Cha Game Nzima Pamoja Na Series Hii Inavyoonekana Kuja Kukimbiza Sana Badae Kwa Kupendwa. So Ukifatilia Kwa Umakini Yale Mazungumzo Pale Mwanzoni, Utagundua Kuwa Kuna Mambo Ya Kuogopesha Sana Mbeleni.

Fmx2zULXwAEnzP4.jpeg

Mwanzo Kamili
Septemba 26, 2003, Siku Ya Birthday Ya Joel. Anaonekana Ana Haraka Ya Kuelekea Kazini Ila Sarah Baadae Anaamua Kuiandaa Surprise Kwa Baba Yake Na Kwenda Kurekebisha Saa Baada Ya Muda Wa Shule Kupita. Ndani Ya Duka La Saa Inapita Doria Ya Polisi Inayoashiria Hatari Kubwa, Hapo Hapo Mke Wa Mwenye Duka Anamfukuza Sarah!

Sarah Alirudi Mpaka Maeneo Anayoishi Na Kuingia Nyumba Ya Jirani Ambapo Alifaulu Kutoka Kabla Mambo Hayaja Haribika, Mana Bibi Mzee Aliekalia Kiti Cha Magurudumu Alionekana Kuanza Kubadilika Na Hali Haikuwa Sawa.
Fmx2z--XkAETQwr.jpeg
Fmx208NWQAQUKhJ.jpeg

Sarah Anapofika Nyumbani Kwao Badae Anampa Baba Yake Zawadi Ya Saa!!, Ila Muda Mbele Kidogo Simu Inaita Na Kutoa Joel Na Kumuacha Sarah Kalala. Joel Anaenda Kumtoa Ndugu Yake Wa Kiume Aliefungwa Selo Baada Ya Ugomvi Wa Bar.
Fmx3pp-WYAAIUwd.jpeg
Fmx3qNNXEAAh0ME.jpeg
Fmx3rF5XEAIMbnf.jpeg

Baadae Sarah Anashtuka Na Kujikuta Yuko Peke Yake Ndani Usiku. Unaonekana Ujumbe Kwenye Televisheni Kutoka Serikalini Ulisema Kuna Dharura Na Kila Mtu Anatakiwa Kukaa Ndani. Lakini Sarah Anatoka Nje Mpaka Ile Nyumba Ya Jirani Ambapo Anamkuta Bibi Connie Anamshambulia Mmoja Wa Watu Mke Ndani. Sarah Anakimbia Baada YaKuona Tendrils Zikichungulia Mdomoni Kwa Bibi Connie. Yes! Nje Sarah Anakutana Na Baba Yake Akiwa Na Tommy. Yani Amefanikiwa Kumtoa!

Watatu Wote Wanaondoka Na Gari Kujinusuru Na Ghadhabu Wanayoiona Au Inayokabili Eneo Waliopo. Wanaipita Nyumba Ya Jimmy Ikiwa Inaungua.
Fmx3tY2XEAQN67a.jpeg
Fmx3uAjWIAAGcp0.jpeg
Fmx3vAwWIAA27Jx.jpeg
Fmx3vgwXEBsS9v8.jpeg

Uwezekano Wa Kukimbia Jiji Unaingia Kwenye Wakati Mgumu Sana Baada Ya Ndege Ya Abiria Kuanguka Karibu Na Walipokuwa Ndani Ya Gari.

Badae Wanaonekana Kupata Fahamu, Ila Watatengana Na Tommy. Hivyo Joel Na Sarah Ambae Ameumia Wataondoka Na Njia Yao Ambapo Kuna Watu Wengi Wameathirika Na Fungi. Askari Mbele Anawasimamisha Na Anapewa Amri Awauwe. Wakiamini Wameathirika (Lakini Sivyo). Risasi Zinafyatuliwa Na Mwanajeshi Ambae Character Yake Ni Cameo Ya Series. Co-creator Craig Mazin Pafomansi Alioitoa Na Yeye Ni Kubwa, Craig Mazin Ni Mwandishi Mzuri.
Fmx3xD8XEBckWVj.jpeg

Fmx3xnkX0AEgm0M.jpeg
Fmx3yJDWQAEAKHm.jpeg
Fmx31GWXEBAS_cA.jpeg
Fmx31jjXEAgWudu.jpeg

Miaka 20 Baadaye
Mwaka 2023 Jijini Boston Ataonekana Kijana Mdogo Wa Kiume Akizunguka Zunguka! Ni Ameathirika. Anaokotwa Na Mamlaka Husika Wa Maeneo Hayo, Anapigiwa Sindano Inayommaliza Taratibu, Joel Anauchoma Mwili Wake. Joel Anaeonekana Kufanya kazi Hiyo. Kuna Kundi La Waasi Liitwalo 'Fireflies' Ambao Wameunda Umoja Kwa ajili Ya Kuuangusha Utawala Uliopo Wenye Mabavu.
Fmx32b2XEB4azSv.jpeg

Joel Anakutana Mwanajeshi Anaedaiana Naye Kadi Za Kula, Wanabadilishana Na Dawa Adimu. Pia Ataonekana Jess. Mwanamke Anaecholopoka Kwenye Jengo Lililolipuka. Jess Nje Anakutana na Wanajeshi Ambao Wanapambana Na Fireflies Na Watamkamata Jess Wakihisi Nae Ni Muasi.
Fmx33tJXwAAinU1.jpeg
Fmx34efXkAQmNwu.jpeg
Fmx35SnWYAAFDsk.jpeg
Fmx358TX0AEwUr6.jpeg

Ishu ya Tommy
Bado Joel Anataka Kumtafuta Ndugu Yake Tommy, Ambao Walitengana Kwenye Timeline Yao. Joel Na Jess Wanaungana, Na Jess Alikuwa Kashikiliwa Na FEDRA. Jess Anahangaikia Kupatikana Betri La Gari Kupitia Robert Ambae Alikutana Nae Mwanzoni Mwa Episode!!.
Fmx3670XEAYV3T3.jpeg

Utambulisho wa Ellie
Ellie Ndio Character Inayofuata Ambae Yuko Chini Ya Waasi Fireflies, Marlene Anamfungua Pingu Zake Na Kumtajia Jina Lake Halisi Na Kuhusu Taarifa Muhimu Zinazoweza Kubadilisha Mengi, Ila Jess Na Joel Wanakumbana Na Marlene Akiwa Na Ellie Ambapo Wao Wakiwa Kwenye Harakati Za Kumsaka Robert Ambae Amewavuruga Wote Na Amelala Chini Kafa.

Marlene Anathibitisha Kuwa Ni Joel Na Jess Pekee Wanaweza Kuendelea Mbele Na Ellie Kwenye Misheni Yao!, Na Misheni Ni Kuelekea Old State House Ambapo Wapo Waasi Wengine Wa Fireflies. Huko Kuna Mabetri Ya Gari Na Silaha Za Kutosha Na Vingine Wanavyohitaji.

Njiani Wanakutana Na Mwanajeshi Yule Yule Aliekuwa Anadaiana Na Joel Ambapo Anataka Kuthibitisha Afya Zao. Ellie Anaingilia Kati Na Hapo Hapo Joel Anakumbuka Namna Sarah AlivyoKufa Mbele Yake Kwa Tukio Kama Hilo, Na Inagundulika Ellie Ameathirika Na Ana Wiki 3 Tangu Aanze Kuugua Na Anayo Kinga Mwili (immune), Wanaamka Kuendelea Na Safari Kwenye Usiku Huo Wa Kutisha.
Fmx4DVQXEAsOhPQ.jpeg

Ellie
Nafasi Imechezwa Na Bella Ramsey, Ameua Sana. Mwanzoni Alipondwa Sana Bella Alivyochaguliwa Kucheza Hii Character, Ila Episode Ya Kwanza Ime Prove Watu Wrong.

Joel
Nafasi Imechezwa Na Pedro Pascal, Ambae Amepafom Sana. Uzoefu Alionao Umechangia Sana.

Tommy
Gabriel Luna, Ameimeza Show Kwenye Kila Scene Aloonekana. Ameua Sana.

Jess
Ana Torv, Ndio Kacheza Hii Character. Na Ameua Sana Kwa Pafomansi Alioitoa !. Kazi Kubwa Ya Mwisho Kwake Ilikuwa Fringe.
Fmx4EX0XEAg1ti-.jpeg

OVERALL
Series Imeanza Vyema Sana, Kwanza Kwa Usilolijua Ni Kuwa Mengi Uliyoyaona Kwa Wewe Usiowahi Kuicheza Game Yake, Fahamu Kuwa Asilimia 90 Wamepata Game Matukio Yote. NA Imekuwa Poa Kupitiliza.

Hakika Waandaaji Wote Wa Adaptation Wa Hizi Vitu Wanatakiwa Kuwatumia Wazalishaji Wa Game Husika Ili Kufanikiwa Kama Hii Inavyoonekana.

Huu Ni Mwanzo Tu, Kwa Episode Hii Ya Kwanza Ambayo Imekuwa Kali Kupitiliza. Inatoa Challenge Kubwa Mbeleni At Least Kwa Episode 4.
Fmx4J1-XEAIm3KW.jpeg
 
Naweza Kusema Kwa Umbali Mkubwa Sana Hii Ni The Best Videogame Ambayo Imewahi Kupelekwa Live-Action Na Kuwa TV-Series Kwenye Kiwango Bora
View attachment 2497977
Leo Tunaanza Na Episode Ya Kwanza Ijulikanayo Kama "When You’re Lost in the Darkness.

PILOT
Episode Ya Kwanza Inaanza Na Mazungumzo Ya Kwenye Televisheni Kuhusu Milipuko ya Virusi Na Pandemics Kwa Ujumla Ambapo Inaonesha Ni Miaka Ya 60. Hata hivyo, Tishio Kubwa Sio Bakteria Ni Fungi.

Kwa Mujibu Wa Daktari Aliekuwa Anazungumza Mahojiano Haya Kama Yaliwafungua Watu Macho. Kimsingi Alikuwa Anazungumziwa Fungi Aitwae Ophiocordyceps Camponoti-floridani, Ambapo Ishu Kubwa Akasema Kuwa Fangasi Huyu Anaweza Mgeuza Mwenyeji Aliemvaa Na Kuwa Kikaragosi Chake (puppet) Na Yeye Kuwa Huyo Puppet! Na Kuwa Anammiliki.

View attachment 2497981
View attachment 2497982
View attachment 2497983View attachment 2497984

Yaani Ishu Alioizungumzia Daktari Pale Mwanzoni Mlivyoona. Basi Kiini Cha Game Nzima Pamoja Na Series Hii Inavyoonekana Kuja Kukimbiza Sana Badae Kwa Kupendwa. So Ukifatilia Kwa Umakini Yale Mazungumzo Pale Mwanzoni, Utagundua Kuwa Kuna Mambo Ya Kuogopesha Sana Mbeleni.

View attachment 2497987

Mwanzo Kamili
Septemba 26, 2003, Siku Ya Birthday Ya Joel. Anaonekana Ana Haraka Ya Kuelekea Kazini Ila Sarah Baadae Anaamua Kuiandaa Surprise Kwa Baba Yake Na Kwenda Kurekebisha Saa Baada Ya Muda Wa Shule Kupita. Ndani Ya Duka La Saa Inapita Doria Ya Polisi Inayoashiria Hatari Kubwa, Hapo Hapo Mke Wa Mwenye Duka Anamfukuza Sarah!

Sarah Alirudi Mpaka Maeneo Anayoishi Na Kuingia Nyumba Ya Jirani Ambapo Alifaulu Kutoka Kabla Mambo Hayaja Haribika, Mana Bibi Mzee Aliekalia Kiti Cha Magurudumu Alionekana Kuanza Kubadilika Na Hali Haikuwa Sawa.
View attachment 2497988View attachment 2497989

Sarah Anapofika Nyumbani Kwao Badae Anampa Baba Yake Zawadi Ya Saa!!, Ila Muda Mbele Kidogo Simu Inaita Na Kutoa Joel Na Kumuacha Sarah Kalala. Joel Anaenda Kumtoa Ndugu Yake Wa Kiume Aliefungwa Selo Baada Ya Ugomvi Wa Bar.
View attachment 2497999View attachment 2498000View attachment 2498002

Baadae Sarah Anashtuka Na Kujikuta Yuko Peke Yake Ndani Usiku. Unaonekana Ujumbe Kwenye Televisheni Kutoka Serikalini Ulisema Kuna Dharura Na Kila Mtu Anatakiwa Kukaa Ndani. Lakini Sarah Anatoka Nje Mpaka Ile Nyumba Ya Jirani Ambapo Anamkuta Bibi Connie Anamshambulia Mmoja Wa Watu Mke Ndani. Sarah Anakimbia Baada YaKuona Tendrils Zikichungulia Mdomoni Kwa Bibi Connie. Yes! Nje Sarah Anakutana Na Baba Yake Akiwa Na Tommy. Yani Amefanikiwa Kumtoa!

Watatu Wote Wanaondoka Na Gari Kujinusuru Na Ghadhabu Wanayoiona Au Inayokabili Eneo Waliopo. Wanaipita Nyumba Ya Jimmy Ikiwa Inaungua.
View attachment 2498010View attachment 2498011View attachment 2498013View attachment 2498014

Uwezekano Wa Kukimbia Jiji Unaingia Kwenye Wakati Mgumu Sana Baada Ya Ndege Ya Abiria Kuanguka Karibu Na Walipokuwa Ndani Ya Gari.

Badae Wanaonekana Kupata Fahamu, Ila Watatengana Na Tommy. Hivyo Joel Na Sarah Ambae Ameumia Wataondoka Na Njia Yao Ambapo Kuna Watu Wengi Wameathirika Na Fungi. Askari Mbele Anawasimamisha Na Anapewa Amri Awauwe. Wakiamini Wameathirika (Lakini Sivyo). Risasi Zinafyatuliwa Na Mwanajeshi Ambae Character Yake Ni Cameo Ya Series. Co-creator Craig Mazin Pafomansi Alioitoa Na Yeye Ni Kubwa, Craig Mazin Ni Mwandishi Mzuri.
View attachment 2498034
View attachment 2498035View attachment 2498036View attachment 2498039View attachment 2498040

Miaka 20 Baadaye
Mwaka 2023 Jijini Boston Ataonekana Kijana Mdogo Wa Kiume Akizunguka Zunguka! Ni Ameathirika. Anaokotwa Na Mamlaka Husika Wa Maeneo Hayo, Anapigiwa Sindano Inayommaliza Taratibu, Joel Anauchoma Mwili Wake. Joel Anaeonekana Kufanya kazi Hiyo. Kuna Kundi La Waasi Liitwalo 'Fireflies' Ambao Wameunda Umoja Kwa ajili Ya Kuuangusha Utawala Uliopo Wenye Mabavu.
View attachment 2498051

Joel Anakutana Mwanajeshi Anaedaiana Naye Kadi Za Kula, Wanabadilishana Na Dawa Adimu. Pia Ataonekana Jess. Mwanamke Anaecholopoka Kwenye Jengo Lililolipuka. Jess Nje Anakutana na Wanajeshi Ambao Wanapambana Na Fireflies Na Watamkamata Jess Wakihisi Nae Ni Muasi.
View attachment 2498052View attachment 2498053View attachment 2498054View attachment 2498055

Ishu ya Tommy
Bado Joel Anataka Kumtafuta Ndugu Yake Tommy, Ambao Walitengana Kwenye Timeline Yao. Joel Na Jess Wanaungana, Na Jess Alikuwa Kashikiliwa Na FEDRA. Jess Anahangaikia Kupatikana Betri La Gari Kupitia Robert Ambae Alikutana Nae Mwanzoni Mwa Episode!!.
View attachment 2498059

Utambulisho wa Ellie
Ellie Ndio Character Inayofuata Ambae Yuko Chini Ya Waasi Fireflies, Marlene Anamfungua Pingu Zake Na Kumtajia Jina Lake Halisi Na Kuhusu Taarifa Muhimu Zinazoweza Kubadilisha Mengi, Ila Jess Na Joel Wanakumbana Na Marlene Akiwa Na Ellie Ambapo Wao Wakiwa Kwenye Harakati Za Kumsaka Robert Ambae Amewavuruga Wote Na Amelala Chini Kafa.

Marlene Anathibitisha Kuwa Ni Joel Na Jess Pekee Wanaweza Kuendelea Mbele Na Ellie Kwenye Misheni Yao!, Na Misheni Ni Kuelekea Old State House Ambapo Wapo Waasi Wengine Wa Fireflies. Huko Kuna Mabetri Ya Gari Na Silaha Za Kutosha Na Vingine Wanavyohitaji.

Njiani Wanakutana Na Mwanajeshi Yule Yule Aliekuwa Anadaiana Na Joel Ambapo Anataka Kuthibitisha Afya Zao. Ellie Anaingilia Kati Na Hapo Hapo Joel Anakumbuka Namna Sarah AlivyoKufa Mbele Yake Kwa Tukio Kama Hilo, Na Inagundulika Ellie Ameathirika Na Ana Wiki 3 Tangu Aanze Kuugua Na Anayo Kinga Mwili (immune), Wanaamka Kuendelea Na Safari Kwenye Usiku Huo Wa Kutisha.
View attachment 2498082

Ellie
Nafasi Imechezwa Na Bella Ramsey, Ameua Sana. Mwanzoni Alipondwa Sana Bella Alivyochaguliwa Kucheza Hii Character, Ila Episode Ya Kwanza Ime Prove Watu Wrong.

Joel
Nafasi Imechezwa Na Pedro Pascal, Ambae Amepafom Sana. Uzoefu Alionao Umechangia Sana.

Tommy
Gabriel Luna, Ameimeza Show Kwenye Kila Scene Aloonekana. Ameua Sana.

Jess
Ana Torv, Ndio Kacheza Hii Character. Na Ameua Sana Kwa Pafomansi Alioitoa !. Kazi Kubwa Ya Mwisho Kwake Ilikuwa Fringe.
View attachment 2498092

OVERALL
Series Imeanza Vyema Sana, Kwanza Kwa Usilolijua Ni Kuwa Mengi Uliyoyaona Kwa Wewe Usiowahi Kuicheza Game Yake, Fahamu Kuwa Asilimia 90 Wamepata Game Matukio Yote. NA Imekuwa Poa Kupitiliza.

Hakika Waandaaji Wote Wa Adaptation Wa Hizi Vitu Wanatakiwa Kuwatumia Wazalishaji Wa Game Husika Ili Kufanikiwa Kama Hii Inavyoonekana.

Huu Ni Mwanzo Tu, Kwa Episode Hii Ya Kwanza Ambayo Imekuwa Kali Kupitiliza. Inatoa Challenge Kubwa Mbeleni At Least Kwa Episode 4.
View attachment 2498093
Upo njema chief...mimi nasubiri series ya GOD OF WAR

Nimeanza kucheza games zake kitambo sana god of war 1 hadi 5 ragnarok story yake ni nzuri kinoma
 
Hii series ni kali sana.... Hv hamna namna ya kupata game lake kwenye android devices?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom