thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  3. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  4. Money Penny

    JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  6. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

    Wakuu mjini pagumu
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Uliye nae siku atakapoondoka ndo utajua thamani yake

    Note; Mwanamke mheshimu sana huyo mwanaume Umeolewa naye,haijalishi yeye ni Nani. Kuwa mnyenyekevu na acha kuonesha kwamba unajua Kila kitu. Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo katika nyumba za wanaume zao Leo. Wengi wao wanathibitisha haki zao kwa kutoka kitanda kimoja Hadi...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

    Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  14. realMamy

    JamiiForums Tanzania Sasa nimpe nani anayejua thamani

    Sikiliza kibao kizuri cha isha mashauzi.
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ulega Aagiza Utekelezaji Miradi ya Ujenzi Kuzingatia Thamani ya Fedha

    ULEGA AAGIZA UTEKELEZAJI MIRADI SEKTA YA UJENZI KUZINGATIA THAMANI YA FEDHA Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameelekeza Viongozi na Watumishi wa Wizara ya Ujenzi kuhakikisha wanazingatia thamani ya fedha wakati wa utekelezaji na usimamizi wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara, madaraja...
  16. kisalinaseu

    JamiiForums Tanzania Ipe thamani biashara yako

    Karibu tukutengenezee logo nzuri kwa ajili ya utambulisho wa biashara yako. Kumbuka kwamba logo ni muhimu sana kwani inaonyesha seriousness, uhakika na pia ni utambulisho kwa biashara yako hasa wale tunofanya kazi online. Utalipia baada ya kufurahia kazi Tupigie 0766771788
  17. W

    JamiiForums Tanzania usizoee kutembee na vitu vyenye thamani ndani ya gari, camera imewanasa wezi Arusha wakivunja kioo cha gari na kuiba vilivyomo

  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?

    Wanabodi, bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu...
  19. errymars

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mkorongo unashusha thamani ya wasanii wa Kitanzania

    Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania. Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa kiafrika lakini ukiangaria ngozi yake unashindwa kujuwa kama ni mwarabu, mzungu ,mhindi au mchina au...
Back
Top Bottom