Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.
Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka
Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe
Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata...
Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo
Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani
Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao
Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu.
Askofu Nzigirwa amesema...
Wakati propaganda za chuki dhidi ya Mayahudi zikizidi kuenezwa hasa katika nchi maskini kama zetu, kwa Mafarao wa Misri kwao Mayahudi ni fursa.
Israel na Misri wamesaini kandarasi ya gesi asilia ambapo Yerusalem itaiuzia Kairo gesi yenye thamani ya dola za Marekani Bilioni 35.
Kwa mkataba huu...
Ubabe na ujeuri wa rais wao ndio umefikisha taifa hapo.
Yani imefikia pesa imekosa thamani kiwango cha hata ukidondosha hakuna anayesumbuka kuokota.
Wengine wamefikia kutengeneza mapambo kwa kutumia pesa.
1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti.
2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika.
3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea.
4. Unatambua kuwa...
Inaonekana maridadi. Inaonekana salama. Lakini pindi unapofanya lamination ya nyaraka halisi, kisheria unaweza kuonekana umeziathiri au kuzibadilisha bila kujua.
Watu wengi hulaminate vyeti, hati za kiapo, risiti na nyaraka nyingine wakidhani wanazihifadhi. Ukweli ni kwamba, unapozifunika kwa...
Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma.
Hii haikubali.
-Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu.
-Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
Kuna mwenge wa uhuru na bendera ya taifa, viwili hivi naona kama vina thamani sana kuliko alama nyingine za Taifa. Mwenge ukipitishwa askari wenye sare wote watapiga salute, kadhalika wakati wa kushusha na kupandisha bendera ya Taifa
Mimi kajamba nani nikipita na mifuko yangu ya noti hata iwe...
Sio upande wa rasilimali tu hata tukianza kuzungumzia KODI zetu ambazo zimeongezwa kula siku na kila mahali, pesa iko ya kutosha sana.
Usikubali thamani yako iwe ni kitenge, tisheti, baiskeli na elfu kum
Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
Video ya kamera za ulinzi imeonyesha tukio la wizi wa kutumia silaha katika duka la vito la Heller Jewelers mjini San Ramon, California, Septemba 22, 2025 mida ya mchana. Polisi wamesema wahusika waliiba vito vyenye thamani ya takribani dola milioni 1 sawa na Takribani Bilioni 2. 4 kwa fedha za...
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100
Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa,
Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao
Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kitovu kipya cha uwekezaji barani Afrika, kutokana na mazingira bora ya biashara na sera madhubuti zinazotekelezwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
🔹 Thamani ya Uwekezaji: Rekodi ya Kihistoria
Kati ya mwaka 2018 – 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.