Dube aanza kuonesha thamani yake jangwani!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Yanga tuna changamoto ya lone striker kwa muda mrefu sana ..leo hii Dube ameanza kuonesha makali
 
Basi sawa, endeleeni kumuamini. Msije kutoa milio baada ya siku chache.
 
Uzi una masaa 15!! lakn una comment 7 na yangu ya 8!! kweli wanamzengo hawataki upuuzi awamu hii, zaidi zaidi uzi wenyewe ukiwa umewasilisha na chawa ndo kabisa.
 
Yanga tuna changamoto ya lone striker kwa muda mrefu sana ..leo hii Dube ameanza kuonesha makali
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Uzi una masaa 15!! lakn una comment 7 na yangu ya 8!! kweli wanamzengo hawataki upuuzi awamu hii, zaidi zaidi uzi wenyewe ukiwa umewasilisha na chawa ndo kabisa.
Nina nyuzi hazikuwahi kuchangiwa humu jamvini.
umeingia lini JF?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom