Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo...