Street College
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 127
- 293
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia mienendo ya hawa waliopewa dhamana ya kusimamia mpira wa bongo. Ukitazama kwa jicho la tatu utaona kwamba wapo biased sana.
Kwenye ratiba za CAF za mwaka huu, wamewatanguliza Simba kucheza alafu Yanga wanafatia. Hii inawafanya wacheze wakiwa wanayajua matokeo ya Simba, hivyo inawapa molari. Najua kuna mtu atasema TFF wanahusika vipi na ratiba za CAF, ila ukweli ni kwamba kitendo Cha Simba na Yanga zote kutumia uwanja mmoja kiliwafanya CAF wazitofautishe mechi zao ili kuupa nafuu uwanja. Na hapo ndipo TFF walipotoa wazo la Simba kuanza kisha Yanga afatie.
Alafu kingine nashauri Simba tuachane na huu uwanja wa taifa. Hatuwezi kutumia uwanja mmoja na Yanga alafu tukapata matokeo mazuri. Maana vitu walivyofukia ndio vinatukosesha matokeo. Mechi za robo fainali tuhamishie hata Zanzibar