Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,677
Reaction score
6,478
Good morning wadanganyika,

Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.

Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.

Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...

Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.

Siku njema.
 
Sio tetesi huu ndio ukweli. CCM ni mabingwa wa siasa za maigizo ( siasa za jukwaa). Mabingwa wa fitna na mabingwa wa tamthilia (Mchezo wa jukwaa). Atatua upinzani, baada ya uchaguzi atarudi zake CCM, pazia la mchezo linafungwa.

Walikuwa wanamuandaa Mpina kwa mchezo huu, lakini naona sijui wameonaje. CCM ni washenzi wa tabia sio kidogo. 😁
 
Chura Kiziwi muoga wa ushindani hatamfanya lolote mpaka 'uchafuzi' upite kwanza.
 
Good morning wadanganyika,

Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.

Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.

Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...

Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.

Siku njema.
Hatusikilizi porojo zozote yaani wimbo ni mmoja tu if no reform no election kabisa ⚒️ 💯
 
Sio tetesi huu ndio ukweli. CCM ni mabingwa wa siasa za maigizo ( siasa za jukwaa). Mabingwa wa fitna na mabingwa wa tamthilia (Mchezo wa jukwaa). Atatua upinzani, baada ya uchaguzi atarudi zake CCM, pazia la mchezo linafungwa.

Walikuwa wanamuandaa Mpina kwa mchezo huu, lakini naona sijui wameonaje. CCM ni washenzi wa tabia sio kidogo. 😁
Ni watu hatari saana kwa ustawi wa nchi
 
Good morning wadanganyika,

Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo.

Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama na mamlaka yake.

Shujaa huyu kuchangamsha uchaguzi wa Mwaka huu...

Mwenye macho,haambiwi tazama,mwenye sikio hazuiwi kusikia wadanganyika nimewasanua what is going on behind the scripts.

Siku njema.
Confuser and confusees in confusion. Umeandika atakaza fuvu...halafu mwishoni unadai umetusanua what is going on behind the scripts. Je, tayari ameshakaza hilo fuvu au atakaza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom