tetesi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

    Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
  3. bro alex

    JamiiForums Tanzania Chris Brown kufanya show kwa Mkapa, Tanzania

    Muandaaji wa matamasha mtanzania au mrundi anaeishi Canada PCK adai miezi ijayo Chris atafanya show kwa Mkapa na tayari ashaongea na management yake na kukubaliana kila kitu venue itakuwa LAKI na ishirini kama kiingilio cha chini zaidi.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

    Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha. - Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki. - Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

    Salaam Wakuu, Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu. Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini. Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa. Watu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi muda mchache, reformed checker iko karibu na si tetesi tena

    Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker, Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa wapenda haki,old phase ya previous checker itakuwa over,lakini ni huzuni kubwa kwa wabubujikwa...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya CCM kupigwa kwenye mshono, sasa yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

    Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa. Kwa sasa ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

    Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Uzi Maalum wa Tetesi za Watiania CCM Kuenguliwa/Kupita Mchujo wa kupata majina 3 ya kupigiwa kura na wajumbe

    Wakuu salama? Watiania huko matumbo joto, presha inapanda na kushuka, wanaoroga wanachochea kuni na wanaosali wanasugua maguti/paji za uso kwelikweli kuhakikisha wanatoboa kwenye mchujo wa kwanza. Tupeane tetesi kupitia uzi huu na kujadili kule kwenye ushindani mkali kutabari ni majina ya...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi Baada ya uchaguzi 2025 vigogo watakoma kuingilia maamuzi ya idara

    Kuna kila hali tangu JPM atutoke viongozi wenye nguvu kwenye mfumo wamekuwa wakitumia nguvu na ushawishi wao ku diverse mapendekezo ya idara jambo sasa limekuwa ni hatari na kitisho cha usalama maana idara inafanya kazi ngumu kulinda uhai wa taifa na ukisha waingilia hawa jamaa na kuweka siasa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Simba yangu inaongozwa na wahuni sana maana tetesi za kusajili wachezaji na nyingi tofauti na itakavyokuwa kiuhalisia

    Hizi tetesi ukweli zinachosha na kukera sana kwani jatujasahau sajili za hovyo kama akina Ateba na bado wakasifiwa na wao kutamba kuifunga yanga lakini kila mtu anajua kilichotokea. Busara ilikuwa ni kusajili tu kimya kimya na kuacha propaganda za kizamani maana huo ndio uhuni wenyewe
  12. nchonga aliyebaki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Majaliwa anapigwa chini kiujanja

    Jamaa hatujamuona kabisa kwenye mapicha picha ya uchukuaji fomu. Kwa ratiba zake ilitakiwa achukue FOMU jana ila watasha wamemuweka pini hakuna kuchukua FOMU. Kawekwa kizuizini, yeye anautaka ila MFUMO HAUTAKI. Leo ndio siku ya mwisho kuchukua na kurejesha FOMU. Labda itokee miujiza wamuachie...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Arsenal, Spurs zamtaka Eze

    Arsenal inapigana vikumbo na wapinzani wao wa Kaskazini mwa London, Tottenham katika mbioz za kumsajili kiungo wa Crystal Palace na England, Eberechi Eze, 26, ambaye anatajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 68 (Sun). Washika bunduki 'The Gunners' wanamsaka Eze ambaye ni mbadala wa mshambuliaji...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

    Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana. Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze. Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro. Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi za usajili barani ulaya 2025/2026

    Usajili was Liverpool FC Hadi Sasa unatisha,nadhani msimu ujao tunabeba tena! Hadi Sasa , Georgio mamadashavili Toka valencia,Jeremie frinmpong Toka Leverkusen,florian wirts toka Leverkusen ,pia milos kerkez Toka Bournemouth makubaliano tayari! Arne slot anaenda kutawala epl kama Ferguson...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ali Khamenei na kabineti yake wameikimbia Iran, nini wanakiogopa?

    Why are they run away to unknown?
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Back
Top Bottom