Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,319
Reaction score
2,883
1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United
2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal)
3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. ( Done deal)
4. Mohamed Bajaber ataachwa na Simba SC mwishoni mwa msimu ( Done deal)
5. Ladack Chasambi anaweza kutolewa kwa mkopo mwishoni mwa msimu huu ( Done deal)
6. Saleh Karabaka anaweza kurejeshwa Simba SC
7. Ibrahima Toure anatakiwa na Yanga ( Done deal)
8. Naby Camara anaweza kuachwa na Simba mwishoni mwa msimu huu( Done deal)
9. Papy Kimoto anaelekea Singida Black Stars kama kocha mkuu ( Done deal)
10. Thank you Jonathan Sowah (Done deal)
11. Stanley Nwabali anatakiwa na Simba SC
12. Yanga wako kwenye mazungumzo ya kumsajili James Akaminko
13. Simba Sports Club wamevamia dili la Ramadhan Chowedo na Yanga. Azam na Singida Black Stars pia wanapambana kumpata
14. Simba wanaangalia uwezekano wa kumsajili Taddeus Nkeng
15. Kiungo Salim Adams kutoka Medeama anatakiwana Simba SC
16. Emmanuel Keyeke anatakiwa na Simba SC
17. Lamine Jarjou anatakiwa na Young Africans
18. Nathaniel Chilambo anatakiwa na Simba. ( Done deal)
19. Henock Molia anatakiwa na Azam( Done deal)
20. Ibrahim Bance anatakiwa na Simba
21. Michael Kimputu anatakiwa na Simba SC
22. Sede Junior Dhion, anatakiwa na Simba SC
23. Iddy Nado anatakiwa na Young Africans
24. Thank you Elvis Rupia ( Done deal)
25. Sopu anatakiwa na Simba SC
26. Adolph Mutasingwa Bitegeko anatakiwa na Young Africans
27. Frolent Ibenge ataondoka Azam muda wowote kuanzia sasa na kuwa kocha mkuu wa Mali
28. Abdulkarim Watambala anatakiwa na Simba SC
29. Seleman Matola anaweza kuwa kocha mkuu wa Geita Gold kama itapanda daraja
30. Aman Josiah anaweza kuwa kocha msaidizi wa Simba endapo Matola ataondoka
31. Aziz Ki anaweza kurejea nchini muda wowote kujiunga na Yanga ( Done deal)
32. Ivan Ahimbisibwe anatakiwa na Azam FC
33. Mosses Shumah anatakiwa na Simba SC na Yanga
34. Bakari Msimu anatakiwa na Simba SC (Done deal)
35.Henoc Molia anatakiwa na Azam FC ( Done deal)
36.Yona Amos anatakiwa na Simba, Yanga na Singida pia ( Done deal, Singida)
37. Yves Koutiama anatakiwa na Yanga
38. Ahmed Pipino anatakiwa na Yanga
39. Khalid Habib ( Gego) anatakiwa na Yanga
40. Samba Kone anatakiwa na Yanga
41. Daniel Sakari anatakiwa na Azam
42. Shomary Kapombe anatakiwa na Singida Black Stars
43. Benjamin Tanim kurejea Singida Black Stars ( Done deal)
44. Israel Mwenda anatakiwa na Singida Black Stars Simba pia
45. Ismail Mgunda anatakiwa na Simba SC ( Done deal)
46.Loyce Mbaba anatakiwa na Simba SC
47. Thaddeus Nkeng anatakiwa na Simba SC
48.Nasri Kombo anatakiwa na Young Africans
49. Kelvin Bakare anatakiwa na Azam na Simba
50. Ibraheem Jabar anatakiwa na Simba ( Done deal)
51. Thank you Prince Dube ( Done deal)
52. Mosi Ndumumwe anatakiwa na Yanga
53. Fadlu Davids anaweza kujiunga na Yanga ( collapsed)
54. Hassan Mubiru atajiunga na Azam FC (Done deal)
55. Kipre Junior anatakiwa na Azam FC ( Done deal)
56. Koletso Makgalwa anatakiwa na Simba na Yanga (Done dea, Simba)
57. Henry Stanic anatakiwa na Azam FC ( Done deal)
58. Serge Badjo anatakiwa na Simba na Yanga
59. Juma Abushiri anatakiwa na Yanga ( Done deal)
60. Keep an eye on Anicet Oura
61. Abdulnasir Gamal anatakiwa na Yanga ( Done deal)
62. Methew Tegis anatakiwa na Singida Black Stars (Done deal)
63. Shehan Hamis anatakiwa na Singida Black Stars ( Done deal)
64. Mohamed Mussa anatakiwa na Yanga ( Done deal)
65.Keep an eye on Inno Loemba
66.Keep an eye on Rushine De Reuck
67. Aboubakar Bangoura anatakiwa na Yanga
68. Oluwatobiloba Alagbe anatakiwa na Simba SC
69. Emmanuel Flomo anatakiwa na Yanga
70. Thank you Ladack Chasambi ( Done deal)
71. Jonathan Sowah kurudi Singida Black Stars ( Done deal)
72. Thulani Gumede anatakiwa na Yanga
73. Justice Figareido anatakiwa na Yanga
74. Rashid Ali Said anatakiwa na Yanga
75. Marcel Canad anatakiwa na Singida Black Stars (Done deal)
76. Hussein Juma Mihambo anatakiwa na Yanga ( Done deal)
77. Thank you Emmanuel Mwanengo
78. Jeancy Mboma anatakiwa na Singida Black Stars ( Done deal)
79. Nickson Mosha anatakiwa na Singida Black Stars ( Done deal)
80.Aubin Kramo anatakiwa na Singida Black Stars (Done deal)
81. Yanga wanamtaka Peter Shalulile ( Done deal)
82.Ibrahim Doumbia anatakiwa na Simba ( Done deal)
83.Mohamed Sangare anatakiwa na Simba
84. Simba inaangalia uwezekano wa kuachana na Alassane Kante ( Done deal)
85. Armand Kooh anatakiwa na Simba
86. Morice Chukwu anatakiwa na Yanga
87. Erick Mwijage anatakiwa na Yanga ( Done deal)
88. John Mano anatakiwa na Azam FC( Done deal)
89. Keep an eye on Shomari Kapombe
90. Suleiman Mbarouk anatakiwa na Yanga
91.Alphonce Mabula anatakiwa na yanga
92.Jean Charles Ahoua anatakiwa na Singida Black Stars
93.Thank you Frank Assink( Done deal)
94. Abdul Salam anatakiwa na Yanga
95. Houssein Zakouan anatakiwa na Yanga ( Done deal)
96.Gibril Silla anatakiwa na Azam (Done deal)
97. Mlinzi chipukizi wa Simba SC, Hussein Mbegu anaelekea Slavia Praha kwa majaribio ya wiki mbili ( Done deal)
98. Thank you Lasine Kouma( Done deal)
99. Mohamed Zougrana na Yanga
100. Seydou Sacko anatakiwa na Yanga
101. Fred Ngoma anatakiwa na Yanga ( Done deal)
102. Oumar Comara ni mwananchi ( Done deal)
103. Alassne Kante kauzwa ( Done deal)
104. Depu anaweza kuondoka Yanga ( Done deal)
105. Neo Maema ataendelea kuitumikia Simba ndani ya msimu huu kwa Mkopo( Done deal)
106. Feisal Salum ( Fei Toto)anatakiwa na Yanga
107. Simba wanamtaka Feitoto
108. Suleyman Fofana anatakiwa na Yanga
104. Depu kajiunga na Petro Atletico (Done deal)
105. Inno Jospin Loemba anatakiwa na Azam
106. Ismail Mgunda anatakiwa na Simba ( Done deal)
107.Allan Okello anatakiwa na Wydad Casablanca, Far Rabat ( Done deal, Far Rabat)
108.Oumar Comara anaweza kuachwa a Yanga
109. Pape Abdou Ndiaye anatakiwa na Simba
110. Anicet Oura anaweza kuuzwa
111. Paul Peter anatakiwa na Simba
112. Gelson Dala anatakiwa na Yanga
113. Ibrahim Nindi anatakiwa na Simba
 
Simba katika misimu 7 ya karibuni bado imepuyanga sana kwenye usajili. Sasa inategemea upande wa pili uwe hovyo ndo ipate walau kakombe cha kufutia machozi, Ngungu boy nae king'ang'a
 
Papy Kimoto anaelekea Singida Black Stars kama kocha mkuu
 
Papy Kimoto anaelekea Singida Black Stars kama kocha mkuu ( Done deal)
 
Back
Top Bottom