tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Tutashuhudia wizi na ufisadi wa kutisha awamu hii kwasababu waliopo madarakani HAWANA uhakika wa kupata madaraka tena!!

    Wataiba Sana wakijua fika hawatashika madaraka tena na wamekata tamaa. Ni sasa na Sio wakati mwingine tena!ndivyo wawazavyo mioyoni mwao.wataingia mikataba ya kifisadi ya kutisha ambayo itatuathiri miaka zaidi ya mia Moja ijayo!wanajua fika wananchi wa kawaida hawawataki na wameshawakataa kata...
  2. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Johnny Depp adai hata angepewa offer ya $300 milion, hawezi kuwa tena Jack Sparrow

    Najua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean. Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp. Ila kwanza watengeneza movie walikuwa washaamua kwamba hatahusika tena katika movie hiyo kutokana na scandal...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  4. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nionavyo Tena kwenye operation ya Urusi dhidi ya ukraine

    Baadhi ya watu wanadhani Urusi imekurupuka. Ukweli Urusi kila hatua kwa op hii ilipangwa. Urusi inaijua Marekani nje ndani kama ambavyo Marekani inaweza kuwa inaijua Urusi,kwa sababu ya historia ya nchi mbili hizi. Wengi hawajasoma juu ya "cold war". Kabla ya kuivamia Ukraine Urusi ilikua...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM, Operation TUJISAHIHISHE irudiwe tena!

    Kwa machalii na dogo wengi, hawawezi kuijua hii Operation Tujisahihishe , ambao ulikuwa msimamo wa chama TANU, Mwaka 1976/77. Mwalimu, a thinker, strategist na visionary, aliliona tatizo katika misimamo ya chama, misimamo ambayo ilileta utata na matatizo makubwa katika jamii. Mojawapo ya...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema Ufisadi umeanza kutajwatajwa tena, hauleti baraka kwa taifa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo amewataka Watanzania kuishi kwa mshikamano kama watu wa Taifa moja, kuepuka kubaguana kwa namna yoyote ile. “Kwa kuwa Mungu anatupenda basi tuheshimiane, tulinde utu, mambo ya Ufisadi yanayoanza kutajwajatwa sasa...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvuka kigamboni ndio hakuna 200 kwa wote hakuna bei ya watoto kwasasa ile 100 ndio hakuna tena hii yote vita Ukraine au

    Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
  8. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Rwanda vipi tena? Hela inawaondolea heshima kiasi hiki

    Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK. Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
  9. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

    Hii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa ! Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ? Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ? Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

    WANAUME WANA MAUMIVU PIA Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka kujua kwamba wanaume pia hulia. Nilimchukulia mume wangu kama binadamu bora. Ninamwona akitoka nyumbani kila siku na kurudi akitupa mahitaji yetu. Siku moja nikiwa nimetoka nyumbani na yeye alikuwa nyumbani, nilikumbuka...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pleasee eleweni siitaji tena mchumba na wala siitaji tena watu wanisumbue inbox ukihitaji mpenzi toa post

    Please understand muelewe siitaji tena mchumba no more. Mume hutoka kwa bwana sio hapa very sorry Asanteni kwa wote waliokuja ila for now noo. Siitaji.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

    Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier. Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rasmi Ben Affleck amchumbia tena Jennifer Lopez

    Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda, hatimaye staa wa muziki Jennifer Lopez na muigizaji wa filamu za Hollywood, Ben Affleck wametangaza kuwa wachumba baada ya kuvalishana pete. Wawili hao walirudiana mwaka 2021 baada ya uchumba wao wa awali kuvunjika mwaka 2004. Lynda...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Dunia kwa sasa haina tena taifa kubwa

    Kushindwa kwa Urusi kuiteka Ukraine kwa haraka na kukimbizwa Marekani kule Afghanistan na wanamgambo wa Taliban kumedhihirisha kwa mara nyengine kuwa kwa sasa dunia hakuna tena taifa kubwa. Baada ya Urusi kupeleka msururu mrefu wa vikosi vya jeshi vinavyofikia kilomita 4 kuuzunguka mji mkuu wa...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki yaanza kuzagaa tena mitaani

    Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala. Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida. Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Will Smith asitumiwe tena kuwakilisha mbuga zetu

    Baada ya kumzaba Kibao Chris Rocks hadharani kwenye hafla ya Oscar Will Smith hana sifa na hadhi ya kuwakilisha na kutangaza Mbuga zetu iwe Bure, hiari, kujitolea ama kulipwa. Video zote alizopiga Serengeti na vivutio vingine nchini ziondolewe au kufutwa. Hii itasaidia zaidi kuitangaza nchi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania CCM ilianguka kiuongozi 2013 haitasimama Tena; Dola pekee ndiyo itasimamia waendelee kuwepo madarakani

    Chama Cha mapinduzi kilipasuka miakaa tisa iliyopita; ufisadi, undugu na umimi ndio uliopelekea kikose dira kwenye jamii. Leo kinachofanyika siyo kukijenga chama wala kuijenga Nchi bali chama kimejikita kujitoa magamba Kisha yanaota mapya. Leo mataifa mengi yanapambana kusimamia uchumi lakini...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  20. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa 'system disruptor', kwa bahati mbaya hakuimaliza kazi, kwa sasa hakuna tumaini tena

    Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka kizazi kimoja hadi kingine. JPM, labda kwa bahati mbaya au kwa mipango madhubuti ya wazalendo...
Back
Top Bottom