tembo

Tikki Tikki Tembo is a 1968 picture book written by Arlene Mosel and illustrated by Blair Lent. The book tells the story of a Chinese boy with a long name who fell into a well. It is a sort of origin myth about why Chinese names are so short today. The book is controversial because it appears to retell a Japanese story and because it does not portray Chinese culture accurately.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Wana simba tukiingia robo fainali CAFL mwaka huu tuchinje tembo kabisa na kufanya party kubwa

    Yes ndiyo nimesema kwa sababu ya mechi ya utopolo, nimegundua tu kwamba mzungu wetu ni very stubborn yaani ana ka system chake fulani hakana plan b Tusijipe ugonjwa wa moyo kwamba eti nusu fainali WE SHOULD FORGET ABOUT IT hii ngoma inaweza kufia makundi kabisa hata robo fainali tukifika tuombe...
  2. F

    Magufuli ni Utitiri uliombeba Tembo kwa kasi ya Duma

    Mke wangu aniamsha, usiku saa sita, Machozi aomboleza, simu anonyesha, Habari mbaya napata, usingizi unakata, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa. Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota, Aniijia Raila Amolo, machozi analia, Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba, Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
  3. Rais Samia, kumbuka mgema akisifiwa tembo hulitia maji

    Naomba kuwasilisha! Mama ulianza kwa kupika mvinyo mwanana wa uongozi mpaka wasiofungamana na wew kiitikad (ikiwemo Mimi mshale21) wakaukubali kwa utam kisha wakaonesha hisia zao kua huenda mwelekeo ukawa sawa! Sasa umepata sifa umeanza kupiga dilution kwenye mvinyo Sasa hauna Radha na hakuna...
  4. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  5. L

    “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  6. K

    Waziri Ndumbaro punguza siasa katika usalama wa wananchi dhidi ya tembo wavamizi

    Wakuu, Kwa sasa hali ya usalama wa wananchi wanaoishi maeneo ya jirani na hifahibza wanyama pori umekuwa wa kusuasua kutokana na uvamizi wa tembo katika makazi na mashamba ya watu, pia hata wengine kuuawa Sasa waziri Ndumbaro amekosa suluhu dhidi ya tembo hao kunusuru usalama wa raia na mali...
  7. Apoteza maisha kwa kushambuliwa na tembo, Handeni

    Mtu wa pili amepoteza maisha ndani ya wiki moja baada ya kushambuliwa na tembo wanao endelea kuzurura hovyo kwenye makazi ya watu katika mtaa wa malezi wilayani Handeni mkoani Tanga. Akiongea na ITV akiwa hospitali ya wilaya ya Handeni ulipohifadhiwa mwili wa marehemu ambaye amejulikana kwa...
  8. K

    Tembo wamekuwa tishio kwa wananchi, Serikali iwavune kwa Usalama wa Raia

    JF, Hii imekuwa kero kwa raia wa nchi hii kutoka mikoa mbali mbali. Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti taarifa za tembo kuvamia makazi na mashamba ya watu na kusababisha madhara kwa mali za watu na uhai wao. Mikoa ya Ruvuma, Tanga na Manyara kero hii ni kubwa mno,, wananchi...
  9. Tembo 30 wavamia mashamba na makazi ya watu wilayani Namtumbo

    Tembo 30 wakiwa katika makundi mawili wamevamia makazi na mashamba ya wananchi na kuharibu ekari zaidi ya 20 za mazao mbalimbali na kuzusha taharuki kubwa kwa wananchi katika kijiji cha Mbimbi wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma. ITV imetembelea mashamba yaliyoharibiwa kijijinii hapo katika kata ya...
  10. Waziri atoa rai kwa wanaoishi karibu na mbuga na hifadhi washauriwa wasilime maboga na matikiti kuepuka tembo

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema wananchi wanatakiwa kulima mazao ambayo hayatawavutia tembo na wanyama wengine kufanya uharibifu. Tembo huvutiwa na maboga na matikiti. Ili kuepuka changamoto ya wanyamapori kuvamia mashamba na vijiji, vilivyo karibu na hifadhi za...
  11. Luhaga Mpina aibua bungeni sakata la tembo kuvamia kuua wananchi, ataka wafugaji walioshinda kesi Mahakamani watendewe haki warudishiwe ng’ombe

    MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini. Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
  12. Aliyegonga Tembo wa thamani ya Tsh milioni 30 Serengeti anatafutwa

    Tembo mwenye thamani ya shilingi milioni 30 katika hifadhi ya taifa ya Serengeti amekufa baada ya kugongwa na gari namba T 388 DUF Toyota Kluger wakati akikatiza kwenda kunywa maji Ziwa Victoria kwenye barabara ya Mwanza kuelekea Musoma wilayani Bunda mkoani Mara. Kamanda wa jeshi la polisi...
  13. Tembo akisifiwa sana tutaendelea kuumia

    Tanzania nafikiri kuna sehemu tunakosea sana, kuna watu wanasifiwa mpaka tunakufuru kwa maneno yetu. Hatukatai kumsifia mtu akifanya mazuri lakini iwe na kiasi. Sifa, heshima, utukufu, na tukufu zote ziende kwa mwenye kutoa uzima, uhai, ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi. Sasa inashangaza mtu...
  14. Tembo waua sita, wajeruhi saba katika kipindi cha miaka miwili

    WANANCHI Sita wameuawa na wengine saba kujeruhiwa vibaya kwa kushambuliwa na Tembo katika Kijiji Cha Makuyuni wilaya ya Monduli ,Mkoani Arusha katika kipindi cha miaka miwili na kusababisha wakazi wa Kijiji hicho kuishi kwa hofu. Aidha Tembo hao wanadaiwa kuvamia pia mashamba ya wananchi hao na...
  15. Tembo asaka tiba baada ya kupigwa risasi na majangili

    Tembo mmoja huko Zimbabwe ameacha watu midomo wazi baada ya kutafuta madaktari wa wanyama pori wamtibu kufuatia jeraha alilopata kichwani kwa kupigwa risasi na majangili. Majangili walimpiga risasi tembo huyo wakitaka kumuua ili wang'oe meno yake wakauze. Lakini tembo huyo alinusurika na...
  16. Kijazi: Msidanganywe, Maini na Mafuta ya Tembo sio dawa ya Kansa ya ini wala Kansa ya Uzazi

    Salaam Wakuu, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Allan Kijazi amawaeleza Wahariri na Waandishi wa habari Wandamizi zaidi ya 50 waliokutana Dodoma leo tarehe 10 Dec 2020 kwamba, kuna ujangiri mpya wa tembo umeibuka upya. Kijazi amesema kwamba Majangili Wamebuni mbinu mpya ya...
  17. Waswahili walisema "usiige kunya kwa tembo!" Kinachonikuta Sasa!

    Si ulishasikia ile kauli ya jino kwa jino..? Sasa nikajaribu kuifata! Kumbe sikujua mwenzangu anameno mimi namapengo! Aliponiblock nami si tu ya kwamba nikamblock bali nilimubuloku!.. haikuisha hapo aliacha kunitafuta nami si tu nikaacha kumtafuta bali nilimfuta kabisa!.. mambo ya jino kwa jino...
  18. Naomba kujua jinsi ya kuandaa ndizi aina ya Mkono wa Tembo

    Nimekata hizi ndizi kubwa kubwa Sana, hapa kwetu zinaitwa mkono wa tembo, sijawahi kuzila hata siku moja. Naomba wataalamu wabobezi wa Aina mbalimbali ya kuziandaa ndizi hizi kwa ajili ya kula mnielimishe namna ya kuziandaa. Nimetumia neno kuandaa kwa sababu Kuna Aina mbalimbali ya kuzipika...
  19. Ivi Hawa Majirani Zetu wa Jangwani Wamekosa hata Mtu wa Kuwashauri kwenye Mavazi? Kweli kumuiga Simba SC bila hela ni kushindana na Tembo Kunya Boga

    Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba? Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi. Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini...
  20. Tembo Botswana wanakufa, Je, Tembo wetu Tanzania wapo salama?

    Hundreds of elephants found dead in Botswana Credit: Mystery as hundreds of elephants found dead Mystery surrounds the "completely unprecedented" deaths of hundreds of elephants in Botswana over the last two months. Dr Niall McCann said colleagues in the southern African country had...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…