teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Responded Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha kitambulisho cha taifa kwa kukiwezesha kubeba taarifa nyinginezo muhimu pamoja na nyaraka za mhusika. Itasaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yaanzisha Teknolojia mpya mbadala wa dawa za maumivu sugu ya mgongo na kichwa bila upasuaji

    Kwa mara ya kwanza Afrika, teknolojia mpya ya mbadala wa dawa za maumivu, imeanza kutumia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI). Hadi Aprili 28, 2023 jumla ya wagonjwa 18 wamepata huduma hiyo, ili kuepuka maumivu ya mishipa ya fahamu, ambapo huduma hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Daraja jipya la Kiyegeya limejengwa kwa teknolojia ya kisasa ambayo imetumika kujenga fly over ya Ubungo

    Mhandisi Musa Kaswahili ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro anasema: "Machi 03, 2020 daraja lililokuwepo katika eneo la Kiyegeya lilibomoka kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisha barabara hii muhimu ya kitaifa na kimataifa (Morogoro - Dodoma) kujifunga. "Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Mussa Kaswahili amesema eneo hilo la Mizani barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Iringa, awali lilikuwa na mzani mmoja, lakini Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mzani husika. Amesema: “Awali...
  5. JamiiForums Tanzania Ipi ni kesho ya Taifa katika ukuaji wa Sayansi na teknolojia?

    Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa. Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa sayansi na teknolojia ndio kama mfu,hawana mpango maalumu wakuvumbua vipaji bunifu katika teknolojia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu yaliyomo katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Mifumo ya TEHAMA 2021/22

    1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
  7. JamiiForums Tanzania Ile tume ya sayansi na teknolojia ni ya mchongo

    Hivi ile tume ya sayansi na teknolojia ina kazi gani ? Mimi siielewi maana unaweza ukapeleka proporsal ya kuomba kupewa support ya development ya project yako ,wakaipitia wakakwambia ni nzuri ,but we have no money!! Na utakuta project yenyewe hai gahrimu hata 20M kwa ajili ya development kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya Akili Bandia yaanza kumtisha Elon Musk, yeye na watafiti wengine 1000 wataka isimamishwe kwa muda

    Zaidi ya viongozi na watafiti 1,000 wa teknolojia, akiwemo Elon Musk, wamezitaka maabara za ujasusi za bandia kusitisha maendeleo ya mifumo ya hali ya juu zaidi, na kuonya kwamba zana za AI zinaleta hatari kubwa kwa jamii na ubinadamu. Barua hiyo ya wazi, iliyotolewa na Taasisi isiyo ya Faida...
  9. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  10. JamiiForums Tanzania Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya miundombinu yahimiza nguvu zaidi taasisi ya teknolojia ya ujenzi - ICoT

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), kwa kuitengea fedha za kutosha ili iweze kujiendeleza kwa kuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Teknolojia imetuweka uchi, Taarifa zetu binafsi zipo ughaibuni. Sera ya Ulinzi wa taarifa ipitiwe

    Bila shaka kama nchi tumekuwa out-paced na ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii. Leo hii kila mtanzania ikiwemo viongozi,vyombo vya serikali ikiwemo vya ulinzi na usalama wapo watsapp, tiktok, google, Instagram n.k. Mawasiliano yote au almost yote katika shughuli za...
  13. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa Sayansi na Teknolojia uzingatie Usawa pasipo Kubagua Wanawake

    Wanawake wanahitaji teknolojia kwa sababu sawa na wanaume: kukuza ujuzi wao wa soko, kuboresha fursa zao za kiuchumi, kushiriki katika kufanya maamuzi sahihi, kujitangaza kama watu binafsi au Kwa nia ya kujifurahisha tu. Wanawake wanahitaji teknolojia kushiriki katika ulimwengu wa kisasa kwa...
  14. JamiiForums Tanzania iSIM ni teknolojia mpya ambayo itaondoa mfumo wa eSIM

    Teknolojia inazidi kukimbia na kila siku teknolojia mpya inatokea na kubadilika. Wiki hii katika kongamano la Mobile World Congress (MWC) 2023; teknolojia mpya ya iSIM ilitambulishwa rasmi na kuonyesha ni teknolojia ambayo itakwenda kufuata baada ya eSIM. Ni teknolojia mpya ambayo itakwenda...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Bila umeme wa uhakika, tunawezaje kunufaika na Teknolojia?

    Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Pesapal yahimiza matumizi ya Teknolojia Sekta ya Utalii

    Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaban (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Pesapal, Bupe Mwakalundwa (wa pili kulia) na Meneja Mkuu wa Pesapal Emmy Rono (watatu kulia) jinsi ya kufanya malipo kupitia mfumo wa Pesapal badala ya fedha taslimu...
  18. JamiiForums Tanzania Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…