teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  2. J

    Bila umeme wa uhakika, tunawezaje kunufaika na Teknolojia?

    Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?
  3. Blasio Kachuchu

    Pesapal yahimiza matumizi ya Teknolojia Sekta ya Utalii

    Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaban (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkazi wa Pesapal, Bupe Mwakalundwa (wa pili kulia) na Meneja Mkuu wa Pesapal Emmy Rono (watatu kulia) jinsi ya kufanya malipo kupitia mfumo wa Pesapal badala ya fedha taslimu...
  4. CORAL

    Sony na teknolojia ya S-Force Front Surround, Sound Pressure Horn

    Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa sinema bali sasa surround sound technology kujumlisha na video za 3D imewezesha mtu ‘kupelekwa kwenye...
  5. The Sheriff

    Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
  7. The Sheriff

    Teknolojia ya Digitali Inaongeza Uwazi wa Serikali

    Uwazi wa serikali ni dhana kwamba watu wana haki ya kujua serikali yao inafanya nini na serikali ina wajibu wa kutoa taarifa kwa umma. Hata hivyo, kuna njia nyingi za kutafsiri uwazi wa serikali na siku hizi unaweza kupatikana kwa urahisi kupitia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mitandao ya...
  8. R

    Vidokezo vya malezi kwa wazazi kipindi hiki cha digitali

    Katika ulimwengu ambapo watoto "wanakua kidijitali," ni muhimu kuwasaidia kujifunza dhana nzuri za matumizi ya kidijitali na uraia. Wazazi wana jukumu muhimu katika kufundisha ujuzi huu. Weka mipaka. Jua marafiki wa watoto wako, mtandaoni na nje ya mtandao. Jua ni mifumo gani na programu ambazo...
  9. Execute

    Matumizi ya redio kwa ajili ya habari na burudani yameshapitwa na wakati

    Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo. Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda. Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
  10. Analogia Malenga

    Dkt. Ryoba: Serikali huwa inatumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo

    Mkurungenzi wa TBC, Dr Ayuob Ryoba amesema nchi nyingi duniani hutumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo. Amesema hayo akijibu hoja ya mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari ambaye alihoji nini kilitokea 2020 Oktoba ambapo mitandao ya kijamii ilikuwa haipatikani...
  11. Mwande na Mndewa

    Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
  12. Mwl Athumani Ramadhani

    Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
  13. Hamza Nsiha

    Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  14. Suley2019

    Mwanaisha Ulenge: Sheria ya Ulinzi wa taarifa binafsi italeta maadili katika matumizi ya teknolojia ya habari

    Mbunge wa viti maalumu wa CCM, Mwanaisha Ulenge akichangia hoja yake katika mjadala wa Muswada wa ulinzi wa taarifa binafsi ameweka bayana kuwa sheria hii imekuja kwa wakati sahihi na inakidhi maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa sasa na wakati ujao. Aidha, akifafanua zaidi, Mwanaisha Ulenge...
  15. peno hasegawa

    Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT)

    Serikali kutoa Sh102.3 bilioni kwaajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT). Chuo kikuu cha sokoine kilianzishwa mwaka 1984 hadi leo wasomi wake wanahaha mitaani hawana ajira na wameshindwa kujiajiri, wengine wameamua kutengeneza mapanya ya...
  16. May Day

    Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  17. A HUMBLE LEADER

    NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  18. L

    Huwezi kuzungumzia maendeleo ya teknolojia duniani bila kuitaja China

    Na Gianna Amani China ni nchi kubwa kiuchumi na yenye idadi ya watu wengi kuliko nchi zote duniani, na ni muumini mkubwa wa teknolojia katika shughuli zake mbalimbali. Miongoni mwa mambo ya kuvutia ni namna jinsi China inavyotumia teknolojia katika shughuli zake za bandari. Bandari ya Qingdao...
  19. Webabu

    Teknolojia imempa Ellon Musk ukuu wa dunia. Atoa amri kwa Ukraine na Taiwan

    Umiliki wa teknolojia za mawasiliano ni jambo muhimu katika kuitawala dunia. Hiyo imeonekana kwa tajiri mkubwa wa dunia Ellon Musk anayemiliki satelite ya Starlink. Wakati vita kati ya Ukraine na Urusi vikianza jeshi la Urusi liliwahi kuibomoa minara ya mawasiliano ya makampuni ya simu ili...
  20. R

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa maono yangu teknolojia ni...
Back
Top Bottom