tegeta

The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.

View More On Wikipedia.org
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Tegeta Nyuki walalamikia ubovu wa miundombinu na mazingira machafu

    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua. Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
  3. Black Opal

    JamiiForums Tanzania TANESCO Tegeta mnakata na kurudisha umeme mara nne ndani ya dk 1, mnataka mtuunguzie kila kitu?

    Mnakata na kurudisha umeme ovyo oyvo namna hii, si mzime kabisa tujue moja? Mvua yenyewe iko wapi kwa kutufanyia michezo hii? Yaani manyunyu haya ndio matukatia umeme namna hii? Ingekuwa mvua kubwa iliyoambatana na radi si ndio tungepata na shoti nyumba zikawaka moto? Mnapata na kisingizio...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Soko la Tegeta nyuki, kukizuka kipindupindi serikali ipewe lawama zote na iwajibike!

    Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi! Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi? Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile? Ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania TANROAD barabara ya Bagamoyo Mbezi Tegeta kwanini mnafyeka majani ya kando ya barabara kwa greda na kuziba mitaro?

    Sijui kama hili limekaa kitaalam sana au kipigaji! Kwa taarifa za Mamlaka ya hali ya hewa! Baada ya wiki mbili kutakuwa na mvua! Ukipita barabara ya bagamoyo kuanzia eneo la mbezi kuelekea tegeta! Yale majani ya pembezoni mwa barabara wanayakwangua na greda! Kama tunavyojua greda husukuma...
  6. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lori lenye mifuko ya saruji lateketea Tegeta

    Lori lenye mifuko ya Saruji limetekea kwa moto katika eneo la Tegeta Kibo Jijini Dar es salaam leo Februari 06/2023 Hakuna madhara ya kibinadamu yaliyoripotiwa kutokana na moto huo
  7. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Tegeta high school those days

    Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale kawe,Tegeta high school 🔥
  8. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Choo cha kulipia Tegeta sokoni kimeniharibia siku

    Niende moja kwa moja. Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee! Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
  9. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  10. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Dar: Lori lililopakia saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta Wazo

    Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea. --- Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
  11. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  12. Willima

    JamiiForums Tanzania KERO: Tegeta Kwa Ndevu Machinjioni uchafu umekithiri

    Kero hii ni kubwa na inasumbua watu wengi sana, na uchafu huo unatokana na kuwa karibu na jalala na pia kuwa karibu na machinjio ya ng'ombe. Uchafu huu unasababisha harufu mbaya inayo fika hadi kwenye nyumba za watu, na pia kuanikwa kwa mbolea ya ng'ombe kunasababisha uwepo wa wadudu kama nzi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Sioni tija ya ukarabati unaoendelea Barabara ya Bagamoyo (Mbezi - Tegeta)

    Sioni tija yoyote ya matengenezo yanayoendelea barabara ya bagamoyo (Mbezi hadi Tegeta) kufanyika sasa. Kinachofanyika sasa nakifananisha na uharibifu au fursa ya upigaji! Kwanza hakuna mpango kazi mzuri kwasababu wanakwangua barabara na kuiacha barabara katika hali mbaya zaidi kwa mda mrefu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Tegeta Mivumoni, Umoja road

    Habarini wakuu wote kwa ujumla, Napenda kuwafahamisha wadau wote ambao mmekua mkitafuta au kuwaza kupata kiwanja kizuri Tegeta,Mivumoni Eneo la Umoja Road. Kiwanja kinauzwa . Ukubwa Sqm 2000 Bei:100m Maelewano kdg yapo. Hati ipo safi kabisa. Sehemu ni nzuri na kiwanja kina majirani kushoto na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wazazi wa Shule za Makongo Juu ( zamani Londa Secondary ) na Tegeta Secondary timizeni Wajibu wenu wa Kimaadili kwa hawa Wanafunzi

    Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  17. Tembele

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya ajira DSM - Tegeta

  18. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya themanini Wazo Hill, Bunju, Boko na Tegeta kulikuwa na swala, digidigi na sungura wengi sana. Sasa hivi hawapo

    Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala. Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
  19. kapikita

    JamiiForums Tanzania Dar: Trafiki wa Tegeta kwa ndevu wanatunyanyasa

    Kumekuwapo na unyanyasaji mkubwa na usumbufu unaofanywa na askari pamoja na mgambo eneo la Tegeta kwa ndevu barabara ya bagamoyo. Askari hawa huvamia bodaboda kwa nguvu na kuchomoa funguo ukiwa katikati ya barabara suala linaloweza sababisha ajali. Wakishakukamata kipaumbele chao cha kwanza...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rushwa na dhulma: Ukaguzi wa leseni za biashara Tegeta

    Naeleza niliyoyashuhudia, Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa. Zoezi la ukaguzi wa leseni...
Back
Top Bottom