Kuifanyia hivi jezi ya timu pinzani siyo udhalilishaji?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea.

*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa

*Vs Kitenge: Mambo yao tetesi ya waandishi wakakwaruzana lopolopo likadai lina siri za kitenge na mwanaume fulani huko USA na pia likasema kitenge aliangusha hirizi huko radio one

*Vs jerry Muro: Huyu mtu alimpasua haswahaswa simba ilikaa 5 years hakuna kombe , nashangaa huu uwezo wake wa kuuleta makombe aliushindwaje kipindi hiki cha Jerry muro aliyekuwa na back up ya manji na ile team ya kina kamusoko, mwishow a siku alikumbushwa tu msaaada wa kina Muro kumtibia macho akapigwa kelbu za kutosha na kuambiwa kama vipi arudi kufundish madrasa, akaanza kulialia kwa waislamu kwamba wamedhalilishwa na mkristo

*Vs mwakalebela:makamu wa yanga alilalamika sana kuhusu lopolopo kuweka maneno ya VISIT KIDIMBWI kwenye jezi yao alichoambuliwa ni kutishwa zaidi na kuitwa KILO 800

*VS waandishi wote:HAWA WALIITWA TAKATAKA lakini huwa hat hawajali hawa jamaa bahasha za khaki huwa zinawatoa utu wao kabisa

Screen Shot 2021-08-26 at 16.21.35.png
 
zeruzeru la dunia.jpeg
zeruzeru la dunia linavyosubiria kwa hamu kujibiwa na Top hierachy ya simba ili lijibishane na kuwezesha familia kwenda haja kubwa
 
Back
Top Bottom