Kenya 2022 Raila Odinga Names His 'Dream Team'

Kenya 2022 General Election

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election.

He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate.

Here are the leaders Mr. Odinga wants in his cabinet:

1. Kalonzo Musyoka - Chief Cabinet Secretary (To coordinate and supervise government functions)​
2. Kenneth Marende - Senate speaker​
3. Wycliffe Oparanya - CS Treasury​
4. Peter Munya - CS Agriculture and Chair of the Kenya Productive Sector​
5. Ali Hassan Joho - CS Lands​
 
Wale wale tu sioni chochote hapo.... anyway poa wapambane sasa kwa sera, wapiga kura tunawaskliza.
 
Wale wale tu sioni chochote hapo.... anyway poa wapambane sasa kwa sera, wapiga kura tunawaskliza.
Hivi kwenye katiba hii tunayoitumia sasa hivi kuna kitu kama Chief Cabinet Secretary? Au ni mimi ndio naona zangu?
 
Haipo, ni mbinu za kuhongana na kukunana kisiasa.
Upuuzi mtupu, itakula kwao hao wanaohongwa. Nashangaa kwamba baada ya BBI kuangukia pua, hawa wanasiasa bado hawajajifunza. Kwamba system ambazo zilibuniwa ili kulinda 'integrity' ya katiba ya Kenya zipo imara sana.
 
Wanalifahamu hilo, ni ile tu kama ilivyo kawaida ya mwanasiasa huwa yupo radhi kupapasa masharubu au kidevu cha simba aone litakalotokea, hii katiba kwa namna imemtesa rais Uhuru, ni ajabu sana bado kunao wanadiriki kuichezea, japo pia nahisi kuna namna watajadili nyuma ya pazia kuwekana sawa, kwamba watumie hii safu rasimu kushinda uchaguzi, ila kwenye ugawaji wa nafasi za mawaziri utafanyika kwa kuzingatia miongozo ya kikatba, kimsingi Kalonzo hata akipewa wizara yoyote itakua nafuu au nusu shari maana jamaa amesota sana huko nje kwa kipindi kirefu.
 
Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election.

He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate.

Here are the leaders Mr. Odinga wants in his cabinet:

1. Kalonzo Musyoka - Chief Cabinet Secretary (To coordinate and supervise government functions)​
2. Kenneth Marende - Senate speaker​
3. Wycliffe Oparanya - CS Treasury​
4. Peter Munya - CS Agriculture and Chair of the Kenya Productive Sector​
5. Ali Hassan Joho - CS Lands​
Okay
 
Back
Top Bottom