tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

    Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi! Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Imekuwa jehanamu kwangu lakini sasa niko tayari: Willy Paul ataja sababu za kunyamaza na kuchelewesha albamu yake

    Hatimaye albamu mpya ya mwanamuziki Wilson Radido almaarufu kama Willy Paul itaachiliwa wiki ijayo baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa muziki wa kisasa amesema amekuwa akipitia magumu siku za hivi karibuni na ndio maana akachelewesha albamu...
  3. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  4. Carleen

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuzingua kwenye mapishi, iwe ni mara ya kwanza unapika ama ukiwa mzoefu tayari?

    Hi guys, Natumaini mmekuwa na J'pili njema na yenye baraka..! Nakumbuka miaka ya nyuma ndiyo najifunza funza kupika maskiini, siku hiyo nikaambiwa nipike uji tena wa ulezi bhaana bhaana, nikatoa una madonge kama vichwa vya ndege, nilivyo 'phaller special' eti nikautia kwenye chupa na kujikausha...
  5. Mwanambee

    JamiiForums Tanzania Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la Magufuli pale Chato?

    Binafsi sina kabisa interest na siasa ila nilimpenda JPM kama ambavyo ninampenda baba yangu na watu wengine wengi tu katika jamii, ukweli kuwa watu ninaowakubali huwa au huweza kuwa na upande wao wa pili ambao siukubali upo wazi pia ila kukiri kuwa nawakubali ni matokeo ya mchanganuo wa jumla ya...
  6. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Tupo tayari kununua bidhaa na kupata risiti?

    Ni wazi mpaka sasa wengi hasa waliopata/walio na kazi Rasmi pamoja na wenye vipato vya uhakika wanafurahia sana zoezi linaloendelea la wamachinga kuondolewa kufanya biashara zao barabarani ambazo kiukweli walisaidia kwa kiasi kikubwa watu kujipatia bidhaa/vitu kwa bei nafuu zaidi. Ok tuseme...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Japo Godbless Lema ametangaza nia ya kurudi nyumbani, na kwamba yuko tayari kwa lolote, naamini Mbowe atamtaka asirudi nyumbani

    Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema: "Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences." My opinion...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Mfungwa Ole Sabaya huu hapa

    Ndio kama mnavyoona Chanzo : Mwananchi Nakala kwa Gerald .M Magembe
  10. Ramon Abbas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari laki 2 ipo tayari, anaehitaji kuolewa ajitokeze

    Hio hela iko fixed, nahitaji mwanamke mwenye akili timamu tuanze maisha kabla mwaka haujaisha. Umri ule ule wa kiserikali, top iwe 30. Mimi ni mkazi wa jiji la miamba, mvuvi wa samaki aina ya sato na sangala. Elimu yangu ya kuokoteza, ila najitambua na akili timamu Mahari ipo tayari narudia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi CCM

    Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021. Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri...
  12. vnn

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini, Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze? Tukale...
  13. MUSIGAJI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    Wanajukwaa nawasimu, Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu. Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo). Je kumbukumbu zangu ziko sawa?. ========= Mahakama ya hakimu mkazi...
  14. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Haya haya Kumekucha Wanaijeria wameshaanza tayari Umafia na Kulipiza Kisasi huko Kwao Port Harcourt

    Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania 2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

    Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo. Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu. Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama. Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani. Mama...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga itafungwa Champions League kichaka cha kufisha nyuso zao wanacho tayari

    Haitakuwa kazi ngumu kwa kocha, viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga kujitetea kama ikitokea bahati mbaya wakafungwa na kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa msimu huu. Sababu zao zitakuwa hivi: 1. Wachezaji wao 3 muhimu wamezuiwa kucheza. 2. Timu haikuwa na pre-season nzuri 3. Wachezaji...
  18. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Taliban: Tupo tayari kushirikiana na nchi zote duniani isipokuwa Israel

    Uongozi wa Taliban nchini Afghanistan umesema upo tayari kufanya kazi na nchi zote duniani isipokuwa Israel. Msemaji wa Kundi hilo, Suhail Shaheen ameliambia Shirika la Habari la Sputnik News la nchini Urusi kuwa Taliban ipo tayari kufanya kazi na Marekani hata baada ya kusubiri kwa miaka 20...
  19. The Assassin

    JamiiForums Tanzania 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
Back
Top Bottom