tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  4. JamiiForums Tanzania Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  5. JamiiForums Tanzania Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  6. JamiiForums Tanzania Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna dawa ya kumroga mtu? maana nishaibiwa tayari na ujanja wangu huu

    Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia. Ila kadri siku vinavyosonga...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kabila la wahindu linataka kuhamia Israel kufuata asili yao na liko tayari kupambana na Hamas

    Huku kukiwa na mzozo wa kikabila nyumbani, jumuiya ndogo kaskazini-mashariki mwa India inajaribu kuhamia Israel, ambako wanasema mizizi yao ni uongo. --- Aizawl, India – Joseph Haokip, an undergraduate student in Manipur, is excited at the thought of going to Israel. He is ready to join the...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya usahili Uhamiaji tayari?

    Wakuu kuna yoyote anayefahamu mchakato wa usahili wa uhamiaji anijuze nasikia majina yametoka
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

    Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko. Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mji wa Auckland New Zealand tayari sasa ni sa 8 na Nusu Usiku ya Tarehe 1, Januari 2024.

    Wakati wengine tukiendelea kusubiri mwama mpya, Auckland New Zealand tayari walishaanza mwaka 2024 masaa 2 yaliyopita. Auckland wako mbele yetu zaidi ya Masaa 8, GMT+13. https://twitter.com/AP/status/1741427952116506698?s=19
  14. B

    JamiiForums Tanzania Laana Gaza: Weah tayari, njiani Natenyahu, Biden na wengine waja

    1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza? 2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi? 3. Natenyahu yuko njia moja: 4. Joe Biden ni Suala la muda tu. 5. Kwa hakika ikawakumbe wote, hata walioamua kuufyata makwetu Kenya na Uganda huku.
  15. JamiiForums Tanzania Christmas haiwezi kupita bila baraka ya mvua, tayari imenyesha mjini mbeya, hapo ulipo je?

    Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla haujaoa, tembelea kwanza Newala. Mwenzenu Tayari nipo Newala toka juzi usiku wa manane

    Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine akaniambia kama nawataka wamakonde haina haja ya kwenda Newala bora niende Masasi kwa sababu Masasi...
  17. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa HAMAS asema wako tayari kuitambua Israel almradi yaishe

    Haijaeleweka nini kimesababisha jamaa abadilishe msimamo ghafla...... In shift, a top Hamas official floats Israel recognition In an interview with Al-Monitor, senior Hamas official Mousa Abu Marzouk suggested the militant group would adhere to the Palestine Liberation Organization’s stance on...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  20. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…