Laana Gaza: Weah tayari, njiani Natenyahu, Biden na wengine waja

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,887
35,901
1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza?

IMG_20231226_114221.jpg


2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi?

3. Natenyahu yuko njia moja:

IMG_20231226_113025.jpg


4. Joe Biden ni Suala la muda tu.

IMG_20231226_122343~2.jpg


5. Kwa hakika ikawakumbe wote, hata walioamua kuufyata makwetu Kenya na Uganda huku.
 
Back
Top Bottom