tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

    Care Giver (Mlezi) ■Mimi ni nani? ■MAJUKUMU YANGU NI YAPI? ■Kwa sasa nipo tayari kutoa huduma mkoa wowote ndani ya Tanzania. Mawasiliano: 0683 856087 NB: Naomba share na wanaohitaji huduma hii najua watu wanamajukumu na hapo hapo wanahitajika wa watu wao wanaohitaji uangalizi wa karibu...
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  3. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

    Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    WAKIKWAMBIA WAKO TAYARI KUKUPENDA NA UMASKINI WAKO KATAA KABISA HUO MTEGO,WATAKUSUMBUA MBELENI Zipo kauli kuwa mapenzi sio pesa bali ni upendo tu wa moyo ndio unaamua mapenzi, hii ni kweli lakini sio kweli kwamba pesa haitakiwi mwenye mahusiano. Usijazwe kichwa kwa maneno kuwa atakupenda tu...
  5. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Binadamu unapozaliwa na kuja duniani wewe tayari ni majibu na sio maswali

    Vijana kabla ya kukata tamaa na kutamani kujiua hebu elewa maana ya maisha kwanza. Hapa duniani tunatumia past kuishi katika present, unabidi kukaa na kutafakari wewe ni nani hasa kumbuka ulichokuja kukifanya hapa duniani. Wewe ni majibu na sio maswali. Dunia huwa inatupa maswali na sisi...
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ukikosa tubu, Mungu yupo tayari kukusamehe!

    REHEMA ZA MUNGU NI KUU KULIKO DHAMBI ZETU. Mungu atakusamehe dhambi zako, atazitupa kwenye kilindi cha bahari, atazifuta kabisa, utakuwa kama hujawahi kutenda dhambi, utakuwa safi. hata mtu akikukumbusha dhambi yako mwambie, Mungu alishaifuta, na kitu kikifutwa ni kwamba hakipo, ni sawa na...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pacome yupo tayari kuwakabili Uruguay

    Kwa Mara ya kwanza mchezaji kutoka ligi ya Tanzania kuchezea mabingwa wa Afrika dhidi ya mechi na mabingwa wa zamani wa dunia.
  10. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  12. Mto Songwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie vijana wa sasa wanaume na mabinti mpo tayari kwa ndoa au mnatania?

    Binafsi machalii wa sasa siwaelewi kabisa kama wapo tayari kwa ndoa au wanaigiza? Sio wanaume sio wanawake yaani wote wanafanana ni kama kichaa na mwendawazimu wamekutana pamoja kuanzisha familia. Hizi ndoa za machalii wa sasa ni kama wanavutana karibu ili kuwa na uhuru wa kufanya ngono...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Unasikilizaje shida mpya wakati hujatatua ambazo zipo tayari mezani kwako?

    Kero zipi nyingine anataka kusikiliza umeme kukatika ni kero maji kukatika ni kero jobless wengi mtaani ni kero Barabara ni kero wizi na ufisadi Wa serikali yake ni kero viongozi Wa serikali yake ni kero Bunge na spika wetu ni kero polisi wetu ni kero mwalifu kupewa uenezi ni kero
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  15. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one. Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas wasema wako tayari kwa suluhu na kwa vita pia.Waziita juhudi za Biden kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu

    Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu. Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi wakati akila askirimu aliposema makubaliano baina ya Hamas na Israel yanatarajiwa kufikiwa ifikapo...
  17. john issa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri. Mazao, ng'ombe, cosmetics...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

    Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare. Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
Back
Top Bottom