Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,346
4,803
Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare.

Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI KATI YA SIMBA NA GALAXY YAMESHAFANYIKA. kinachosubiriwa ni formalities tu za kukamilisha ratiba. MO Dewji katika mipango ya hivi tunamuamini sana.

Ila cha ajabu sasa ni pale Simba watakavyoshangilia kana kwamba kufuzu kwao ni kwa kupambana kama ilivyofanya Yanga.

Timu ya Yanga inastahili Pongezi kubwa sna
 
Wewe nani kakwambia kuwa Galaxy akishinda haina maana? Galaxy akishinda atakuwa na point saba na hapo atasikilizia matokeo ya Wydad dhidi ya Asec. Kiufupi hata Galaxy nao wana nafasi ya kufuzu
 
Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare.

Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI KATI YA SIMBA NA GALAXY YAMESHAFANYIKA. kinachosubiriwa ni formalities tu za kukamilisha ratiba. MO Dewji katika mipango ya hivi tunamuamini sana.

Ila cha ajabu sasa ni pale Simba watakavyoshangilia kana kwamba kufuzu kwao ni kwa kupambana kama ilivyofanya Yanga.

Timu ya Yanga inastahili Pongezi kubwa sna
Unapoweka bandiko uwage na misimamo....!

Kichwa cha Habari Simba Kafuzu....Pongezi unatoa Kwa Utopolo...which is which!!
 
Wakuu,
Ikitokea matokeo za mwisho yakawa hivi, ni kwamba safari ya Yanga itakua imefika mwisho kwenye makundi?

Al Ahly 1 - 0 Yanga SC
CRB 6 - 0 Medeama
 
Mpaka sasa kwenye kundi la Simba aliyefuzu ni Asec tu, wengine wote bado.
Simba akishinda anafuzu, akifungwa anatolewa, akitoa sare itategemea.
 
Kwanini?

Wakati point watakua sawa, CRB atakua amemzidi GD yanga.
Sasa hata sheria za caf kuhusu timu zikiwa sawa Nini kinaangaliwa hujui sheikh??

Endapo timu zikiwa sawa point caf sheria zao hawaangalii GD kwanza .. wanaangalia head to head(baina ya timu zinazokua na point sawa).....

Yanga na Crb zikiwa sawa point wataangalia mechi baina Yao ambapo yanga alifungwa 3-0 1st leg akaja kushinda 4-0 2nd leg .. hivo automatically yanga ashafuzu hata akipigwa goli 100 na Al ahly
 
Simba imekula Kwetu, tumekosea mahesabu mara mbili Kwa Galaxy na Asec Tulikuwa na uwezo kupata point 3 kote, lakini Tukiwa ugenini tunakuwa waoga sana wa kufunga.
 
Nkua nataka nione numbers.

Kwa sasa CRB yuko nyuma ya Yanga kwa 6 goals na point 3.

Je kwenye mechi ya mwisho CRB akamfunga Medeama goli 7 - 0 si atakua amemzidi yanga.

Itakuaje. Naomba nieleweshwe
Achana na kigezo cha goal difference, kigezo muhimu cha kwanza baada ya points ni head to head, Yanga alifungwa tatu na hao waarabu na jana Yanga kampiga nne, hivyo head to head Yanga ni mshindi, automatically ameshafuvu.
 
Kwanini?

Wakati point watakua sawa, CRB atakua amemzidi GD yanga.
Sheria ishabadirika ikitokea crb akishinda mechi ya mwisho na mediema na kua na point nane kama Yanga then Yanga akapoteza Kwa Al Ahly basi wanatazama walipokutana wenyewe Kwa wenyewe ni nani alimfunga mwenzake goli nyingi ndio anaepita so mpaka sasa Yanga kashaingia robo coz hawawezi kukutana tena na Crb kwenye hatua hii ya makundi.
 
Back
Top Bottom