tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

    Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa. Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa. Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia. NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
  2. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ovyo tayari washachangamkia fursa kuzalisha jezi za Balthazar 400

    Yule mtu maarufu aliyezima habari zote duniani ikiwemo uchaguzi wa Marekani wadau wamemtumia kuanza kupiga pesa
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

    Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu wanasukuma Magari ya bei mbaya sana hapa DSM inaonekana nchi imeshafnguliwa tayari.

    Nchi imefunguliwa kimya kimya inavyoonekana maana watu wanasukuma vyuma vya bei mbaya sana . Kiukweli hapa DSM watu wanasukuma magari ya bei mbaya hatari.
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

    Wanaukumbi. Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran. Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni. Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu...
  7. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mvua imenyesha tayari.

    Kuna mtu mahali atasimulia kitachompata leo.
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Jeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. Linakirudisha kisiwa chake kilichoasi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa chote BREAKING ⚡🚨 Chinese army Helicopter monitoring in Taiwan to warn US and #Taiwan joint forces...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais Samia na CDF tusaidieni Watumishi Wastaafu wa Umma wa Wizara ya Ulinzi tupate stahiki zetu, tupo tayari kuonana nanyi

    Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi tofauti, baadhi ikiwa ni miaka 35 hadi 40 na kuendelea. Wengi wetu tulikuwa ‘Nursing Assistants’...
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  13. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

    Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border [Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukigeuka mshauri kwenye mahusiano yako jua upo unalazimisha afanane na unayemtaka, tayari umechanganya mafaili

    Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka. Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi kwenye machaguo, aliyekosea vigezo baadhi huyu ni rahisi kujifunza kuvumilia ila kwa aliyekosea sana...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ole Gunnar Solskjaer asema yupo tayari kurejea Man United

    Ole Gunnar Solskjaer piles pressure on Erik ten Hag by opening the door for sensational Man United return three years after Old Trafford sacking Ole Gunnar Solskjaer has given his verdict on if he would ever return to Manchester United. After initially making his name as a player at Old...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa Dar hatupo tayari kuandamana, tumeridhika na utendaji wa Rais Samia!

  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Update Maandamano Sept 23: Tayari Moshi Huu Unafuka

    Ujomile musani!. Nilichokiona na kusoma mtandaoni kimepelekea kupeana taarifa jinsi gani jeshi la polisi linajiandaa hasa kwa Jumatatu ya tarehe 23. Nikiwa njia panda ya Himo hapa moshi naona bus za polisi zikiwa uelekeo wa Dar. Na kuna mdau kaposti bus za polisi zikitoka Morogoro. Hebu...
  19. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania 2024 Stories of Change Award Ceremony: Zimebaki Siku 4 tu kutoa Tuzo kwa Washindi. Upo Tayari?

    Bado siku 4 tu kufikia Septemba 21, 2024, ambapo tuzo zitatolewa kwa Washindi wa Awamu ya 4 ya Shindano la Stories of Change (SoC). Mwaka huu (2024), kupitia maandiko ya washiriki kwa ubunifu mkubwa yamelenga kuboresha mustakabali wa Tanzania kwa kipindi cha Miaka 5-25, kwa kuzingatia Dhima ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

    Kama una miaka 30 tayari umetumia nusu yako nyepesi sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha 😔 Watalaam husema miaka 30 unakuwa umeishi nusu ya maisha yako hivyo mkononi unakuwa tena na nusu nyingine ✍️ Nusu ya kwanza umeitumiaje? Kwa asilimia kubwa hii nusu umetumia ukiwa shule ila...
Back
Top Bottom