tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani magari kuungua moto kila kukicha?

    Kwa sasa nimeona kunaongezeko la magari madogo kuungua moto kila siku. Ndani ya wiki hii nimekutana na magari ya siyo pungua 7 yame ungua moto. Watalaamu shida nini kwenye haya magari ya sasa?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kazi unaitengeneza mwenyewe. Usisubiri kuajiriwa

    Kazi unaitengeneza mwenyewe. Kwani mafundi nyumba,viatu,matingo,wetpauza machungwa,wafyatua mayofari,wauza karanga,nk kawatafutia nani hizo kazi? Mtaji wa masikini ni nguvu zako mwenyewe anza kidogokidogo utasimama,buni kazi upate kazi ya kufanya
  3. JamiiForums Tanzania BBC Africa: Tanzania abductions.

    https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa. Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi. Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika. Licha ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mh. Nchimbi: Tuchagueni tutaleta Katiba Mpya! Tuna tatizo kubwa- Mzaha kwa watanganyika!

    Mbona nilikuwa naona kama anaweza kuwa mwenzetu! Hawa watu hawako serious na watanganyika, .....ona mzaha anaowafanyia majuha wa Tanganyika! Eti tuchagueni tutaleta katiba!
  6. JamiiForums Tanzania Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

    Uchaguzi wa October ni feki! Wadau nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na rangi nyeupe yaani mvi na sijui sababu ni nini. Mimi kichwani Sina hata mvi Moja, ndevuni pia Sina hata mvi Moja na mavuzi ndo kwanza yananiota maana Mimi kiumri bado ni mdogo. Kwapani nywele zangu ni nyeusi kama zile...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Marekebisho madogo ya tatizo la kiufundi yanayoweza kuangaliwa na kufanyiwa kazi hapa jamiiforums

    Habari zenu wanajamii, Problem Kwa sasa ni wazi kuwa kuna tatizo la kurasa za Jamiiforums kuchelewa kuload, hasa pale ambapo chapisho lina picha au video zenye ukubwa mkubwa. Hii sio jambo geni hata kwa watumiaji wa kawaida kuliona, hali inayopelekea matatizo mengi kwa mtumiaji ikiwemo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani la kimtandao huko X? Ni ngumu kuingia huko hata kwa kutumia VPN

    Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe"

    Tatizo la Ummy ni kutumia kisambaa kusema "Zumbe" . Zumbe maana yake ni wazee machief wa zamani lakini siku hizi jina hili wanatumia kwa maana ya mwanaume kiongozi mkakamavu "jembe" au shujaa. Sasa Ummy kusema Tanzania inataka "Zumbe". Huyu dada alikuwa mtu wa Magufuli. Lakini Ummy vilevile...
  10. J

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo kwenye mfumo wa NACTVET kuomba AVN

    "Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa. Madirisha ya maombi...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo ni Pesa/Umasikini

    "Binadamu anaamini Ukimpa pesa ndo Unampenda" Ila kiuhalisia Unakua umemnunua indirect seles, na wapo wanaouza Direct sales. Kwa ufupi Wote Wanauza ila wametofautina style ya kuuza tu.
  12. JamiiForums Tanzania Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

    GT Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete. Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala...
  13. JamiiForums Tanzania Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

    Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi. Kazi ipo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uganda Nje, Kenya Nje, Tanzania Nje, Lipo Tatizo Ukanda huu, Mnaoleta Siasa hapa Tanzania

    Wewe unaeiponda Tanzania kwa kutolewa CHAN jana na unashangilia halafu una comment kwa matusi
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo Hana athari ndo maana wajanja wanampotezea tu. Tani Moja tu ya uranium kwa MOSSAD/CIA inatosha kabisa!

    Ndo hivyo. Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma huwa wanamwacha na wanacheka tu. Hali ikiwa tofauti basi hudeal nae kiume. Haka kakitu hakina athari...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Azam FC ni Azam FC

    I will be short Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home Today they lost 1 nil As Kigali 1 - Azam FC 0 As Kigali wasted about 4 big chances.
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti – ZANZIBAR: Asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili

    Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imefanya utafiti wa Afya ya Akili kwa Wanawake Wajawazito uliofanywa na kubaini kuwa asilimia 30 ya Wajawazito wana tatizo la Afya ya Akili, huku asilimia 26 ya waliokwisha jifungua pia wakikutwa na changamoto hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

    Wakuu habari zenu? Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

    Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…