tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

    Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli hapa alisema ukweli, tatizo sisi ni wajinga

    Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo. Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vita Mitandaoni: Kuitishwe Poo tatizo ni mitizamo tu, tunajenga nyumba moja

    Mabibi na mabwana kumekuwa na vita vikali vya mitandaoni. CCM, Chadema, Corona, Legacy, tuzo za BET nk. Kwa hakika imekuwa ni patashika nguo kuchanika. Hata hivyo pana haja ya kufanyika tathmini za msingi. Kuna uwezekano mkubwa kuwa waungwana, letu sote ni moja. Yawezekana ni kwa sababu ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Euro 2020: Upigaji wa penati ni tatizo. Mpaka sasa zimetolewa penati 11 na zaidi ya nusu goli halikufungwa!

    Mpaka sasa kuna penati 11 zimetolewa, lakini upigani wa penati bado ni tatizo sugu!! Zaidi ya nusu ya penati hizo hazikufungwa. Tatizoni nini? Je kikwazo ni umahiri wa magolikipa au ni mbinu mbovu za wapigaji wa penati? tujadili! Ukiangalia jkubwa wa majina ya wapiga penati usingetazamia wengi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na Waziri wa TAMISEMI liangalieni hili ni tatizo

    Baadhi ya shule za private wanawasumbua wazazi dakika za mwisho mwisho Mtoto anasoma kidato cha kwanza - cha tatu anapoingia kidato cha nne akipata div two au three anaitwa mzazi anaambiwa amuhamishe mtoto sababu inasemekana shule inataka division one tu ili iweze kuongoza kwenye matokeo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Azzan Zungu ataka mazungumzo Bandari ya Bagamoyo kunusuru tatizo la ajira

    Mbunge wa Ilala ameomba muongozo leo Bungeni Dodoma kuhusu mpango wa Serikali kuanzisha mazungumzo tena ya bandari ya Bagamoyo kutokana bandari ya Dar es Salaam kuzidiwa na kutokuwa na uwezo wa kuingiza meli kubwa. Zungu amesema bandari ya Bagamoyo itapelekea kuanzisha viwanda, kuleta ajira na...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo letu ni uwepo wa nafasi ya Ukuu wa Wilaya au ni wale waliomo kwenye hizo nafasi?

    Salaam, Nimekuwa nikiona mijadala mingi baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia S. Hassan, kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya siku ya Jumamosi, tarehe, 19.06.2021. Kabla wengi walikuwa wakilaumu uwepo wa hicho cheo cha Ukuu wa Wilaya kama kitu kilichopitwa na wakati kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Paka wa nyumbani kafia miguuni mwangu; kuna cha kuhofia katika ulimwengu wa kiroho?

    Nyumbani kwangu hapa naishi na mke na watoto wangu wawili pamoja na binti wa kazi na ndugu wawili. Sasa kuna kipindi kuna paka mdogo alikutwa maeneo ya karibu na mtoto wangu basi mtoto wangu huyo akamleta. Ni kipaka cheupe chenye madoa ya brown kwa mbali, kilikuwa kidogo sana, Binafsi...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo la Miamala kukwama huku pesa zikikatwa na mitandao

    Mtu unaamka unataka kununua umeme au maji kwa kupitia mtandao wa Airtel au VodaCom. Unafanya manunuzi unaambiwa muhamala haujafanikiwa lakini pesa wanakata. Halafu ukiwapigia simu huduma kwa wateja wanasema watarudisha muhamala huo ndani ya masaa 96 ya kazi yaani siku nne. Kipindi cha nyuma...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho dhidi ya kuchochea maambukizi ya Covid-19 nyakati za usaili wa kazi

    Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kuenda. Uthibitisho wa hili ni idadi ya waomba kazi ikilinganishwa na nafasi zilizotangazwa. Sekretarieti ya ajira imekuwa ikiita watu kwenye usaili Dodoma na Dar es Salaam. Idadi hii ni kubwa sana kama wahusika wote...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga ni uongozi sio wachezaji wala makocha

    Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya club ni ushahidi tosha kuwa benchi la ufundi na wachezaji sio sehemu ya tatizo la Yanga kwa sasa. Kuna...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 kupita bila kupigwa ni tatizo

    Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini. Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa sheria mfu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Nape, suala la kukaimu muda mrefu ni tatizo

    Katika mchango wake bungeni mh. Nape Nnauye ameshauri itungwe sheria inayoweka ukomo wa kukaimu. Jambo hili nikweli bora litungiwe sheria ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi,uwajibikaji na kuondoa viashiria vya rushwa. Madhara yake yanaonekana Tanga Jiji kwani wapo watumishi waliopewa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhusu Tatizo la Uchafu Dar, Madrassatul Abraar tuna wazo litakalokuwa suluhu ya kudumu

    Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa. Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu. Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

    "Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta" Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
  18. B

    JamiiForums Tanzania CAG fanya ukaguzi maalum kwa waliotumbuliwa ili kuona hasara Taifa iliyopata na ushauri mbinu kukabiliana na utumbuaji usio na tija

    Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila siku na bila hoja ya msingi. Clip ikirushwa mtandaoni tayari mtu amefukuzwa kazi bila kujali uhusika...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

    Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua. Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa suala la kiuchumi si tatizo kwako, ni vipi utayafurahia maisha?

    Habar zenu wakuu, Turud katika mada, Tuna assume kwamba suala zima la uchumi si tatzo kwak, una kipato cha kutosha, you can afford all your needs. Swali kivip utayafurahia maisha kwa upande wako? How you can achieve the climax of life happiness? Tiririka maana kuna wat wana pesa lkn bad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…