Tatizo la ngozi mguuni

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Hi doctors!
for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba.
Sijajua hi hali inasababishwa na nini.
pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu huuma.

Msaada please.

Wenu.

At Calvary

Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.
 
Nami imenitokea kwenye vidole gumba miguu yote na sielewi shida nn
 
Je umekua na tatizo Hilo kwa muda gani na je unapata maumivu ?
sijajua exactly. Ila ni kama haizidi 2 years. Nikiwa dar, ndio hali huwa hivyo. Ila nyumbani mkoani inapotea yenyewe.
Na huwa nikivaa viatu kwa muda hata kama ni saa 1. Miguu inauma ili nipate relief navua.
 
Habari doctor Nina tatizo hilo langozi nimenitokea nini siku ya tano japo kabla nilitokewa na vidonda mwilini nitatumia dawa vikakauka Ila baada ya hapo ndio nikatokewa na hii hali hapo panatowa USAA na maji maji pia panawasha sana na mkuu umevimba na sasa hivi naona dalili kwenye mkono

IMG-20210821-WA0018.jpg
 
Hi doctors!
for a while nimekuwa nikipatwa na hali ya ngozi kubanduka kama gamba.
Sijajua hi hali inasababishwa na nini.
pia hii imepelekea kutopenda kuvaa viatu. Maana nikivaa kwa muda miguu huuma.

Msaada please.

Wenu.

At Calvary

Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.
Mrejesho: Nilienda hospitali nliambiwa ni Fungus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom