tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kuona majina ya Sensa kwenye mitandao yetu nini tatizo?

    Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:- Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10 Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa Wengi watakula keki ya taifa Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi Uchumi utakuwa kwa kasi n.k Watu waajiriwe...
  3. JamiiForums Tanzania Kafulila: Tatizo la kukatika umeme limemkimbiza mwekezaji wa kiwanda cha nguo Simiyu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, David Kafulila ameeleza bayana kuwa tatizo la kukatika kwa umeme kwa Mkoa wa Simiyu kumesababisha mwekezaji wa Kiwanda cha nguo kinachotumia malighafi ya pamba kushindwa kuwekeza katika Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa alikuwa akitoa maelezo hayo kwa Waziri wa Nishati, Januari...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  6. JamiiForums Tanzania BRELA wana tatizo gani ktk kusajili kampuni mtandaoni?

    Sio mimi tu, kuna ndugu zangu kama wawili wamesajili kampuni kwa njia ya mtandao, mwingine ofisini aliniambia alisajili jina la biashara, hela amelipia lakini hawafanyii kazi baada ya malipo, ukikaa muda fulani wanakuletea email kwamba application yako imekuwa cancelled, na maana yake na hela...
  7. JamiiForums Tanzania Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

    Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+ Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee... Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+. Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gari hili linaweza kuwa nini?

    Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu. Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi. Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake...
  9. JamiiForums Tanzania Nina Tatizo la "myofascial pain -Trigger point " naombeni msaada madoctor

    Nikianza na Taarifa zangu za awali. Age: 24 Jinsia: mwanaume Kuoa: Sijaoa Urefu: 5.9ft Uzito: kwa Sasa 76kg kwakawaida ni 89kg Ulemavu: Sina ulemavu Kilevi: Situmii kilevi Wala sijawai kutumia. Upande wa familia: Akuna mwenye shidaiyo au alishawai kuanao Kiujumla Hakuna. Ninapoishi kwa Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la DR Congo siyo Rwanda

    Mtifuano baina ya viongozi wawili wa mataifa ya DRC na Rwanda ambao mpaka sasa unasabishwa na madai ya serikali ya Congo kuishutumu Serikali ya Rwanda kuivamia Congo na kupora Mali zake kupitia kikundi cha M23. Lkn mbali zaidi anashutumiwa kwa mauaji yanayosababishwa na M23 dhidi ya wananchi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania uwezo wao ni kuzungumza watu sio masuala muhimu, tatizo ni nini?

    Ukifuatilia kwa makini mijadala ya vijana wengi kwenye majukwaa makubwa hasa siasa utagundua kuna kitu hakipo sawa ( something amiss ). Katika hali isiyo ya kawaida maoni mengi yamejikita sana kuzungumzia watu badala ya masuala muhimu yanayopaswa kuwekwa wazi. Tatizo hili limezaa machawa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo la ‘Inbreeding depression’ nchini Rwanda?

    Katika vitu ambavyo vinanishangaza, ni wananchi wa Rwanda almost 90% wamefanan sura na Rais Kagame, je, hii inaweza kuwa moja ya matokea ya ndugu wa damu wa karibu kuzaliana wenyewe kwa wenyewe? Kwa kiingereza wanaita ‘Inbreeding depression’, je, inaweza kuwa ndio sababu ya kufanana wanachi...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Vita vya Majimaji

    Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa vita vilivyopiganwa kwa imani za kishirikina. Ikumbukwe kuwa kusini mwa Tanzania kuna mkoa unaitwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi kama Tanzania ukiwa CHADEMA ni tatizo kubwa sana

    Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA. Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutoa hewa chafu (kujamba kupita kiasi) - Chanzo, ushauri na tiba zake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wadau wangu naamini hamjambo kabisa. Nikiwa kazini, nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na mjambo wenyewe ni ule wenye sauti. Nifanye nini kuepuka hali hii? --- UFAFANUZI WA TATIZO HILI...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, unasumbuliwa na tatizo la kushika ujauzito?

    Habari wana jamvi... Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo.. Uvimbe kwenye mirija ya uzazi Homone imbalance Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k Kuna dawa itakusaidia wewe mwenye tatizo la kushika mimba ukitumia dawa matokeo utayaona ndani ya mwezi mmoja.. Itakusaidia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu ni raum, milango haifungi

    Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni. mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga mlango wa kuchoto kuna loki inajiingiza ambayo ni tofauti na ile ya kawaida katika kitasa, lakini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la muwasho na vipele kidevuni

    Habari wajuvi, mimi ni mhanga wa vipele na muwasho kidevuni hapo awali nilikua nanyoa na kiwembe baada ya kunyoa hutokwa na vipele vingi sana hata kama nikitumia after shave Nikashauriwa kutumia magic powder tatizo likaisha ila kinachonisumbua kwa sasa nikifuga ndevu zaidi ya wiki moja kidevu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…