Nina Tatizo la "myofascial pain -Trigger point " naombeni msaada madoctor

Ja Mara

Member
Aug 19, 2021
44
39
Nikianza na Taarifa zangu za awali.
Age: 24
Jinsia: mwanaume
Kuoa: Sijaoa
Urefu: 5.9ft
Uzito: kwa Sasa 76kg kwakawaida ni 89kg
Ulemavu: Sina ulemavu
Kilevi: Situmii kilevi Wala sijawai kutumia.
Upande wa familia: Akuna mwenye shidaiyo au alishawai kuanao Kiujumla Hakuna.
Ninapoishi kwa Sasa: Dar-es-salaam

Tatizo langu.

Nasumbuliwa na maumivu katika sehem kadhaa katika mwili wangu nimejaribu kutembelea hospitali mbali mbali mpaka Sasa sijapata msaada baada ya kutumia dawa walizokua wananiandikia.

Japo wengi walidai huo ugojwa ni mpya kwao ndo wanaisikia mwengine aliniaambia nikaombewe;
Nikitaka kuandika Kila kitu nitakesha.

Baada ya maumivu makali na kushindwa kutembea vizuri,pamoja na mapaja kua mazito kiasi kwamba nikikaa kwenye kiti siwezi nyanyua miguu liwe la kushoto ama kulia.
Mfano halisi wa pichaninavyo jiskia.

Screenshot_20220627-222924.png
Screenshot_20220627-222753.png
Screenshot_20220627-222521.png
 
1. Tafuta nopal ikate kate vipande vidogo loweka na maji kwa muda wa saa mbili au zaidi kisha kunya kikombe kimoja kwa siku mara 3 fanya hivyo kwa wiki moja hadi mbili.
2. Pia chukua kipande cha nopal kipashe moto kwenye jiko la mkaa kisha paka mafuta eneo linalouma kisha chua na kipande hicho cha nopal taratibu kwa siku mara mbili.
3. Waweza tumia viungo kama rosemary na star anise kama chai asubuhi na jioni kupunguza maumivu usiweke sukari labda asali ni vyema.

NOPAL S.jpg

Nopal.
 
View attachment 2282626
Nopal.
Sawa Asante ngoja nizitafute zilipo🙏🙏
 
Nikianza na Taarifa zangu za awali.
Age: 24
Jinsia: mwanaume
Kuoa: Sijaoa
Urefu: 5.9ft
Uzito: kwa Sasa 76kg kwakawaida ni 89kg
Ulemavu: Sina ulemavu
Kilevi: Situmii kilevi Wala sijawai kutumia.
Upande wa familia: Akuna mwenye shidaiyo au alishawai kuanao Kiujumla Hakuna.
Ninapoishi kwa Sasa: Dar-es-salaam

Tatizo langu.

Nasumbuliwa na maumivu katika sehem kadhaa katika mwili wangu nimejaribu kutembelea hospitali mbali mbali mpaka Sasa sijapata msaada baada ya kutumia dawa walizokua wananiandikia.

Japo wengi walidai huo ugojwa ni mpya kwao ndo wanaisikia mwengine aliniaambia nikaombewe;
Nikitaka kuandika Kila kitu nitakesha.

Baada ya maumivu makali na kushindwa kutembea vizuri,pamoja na mapaja kua mazito kiasi kwamba nikikaa kwenye kiti siwezi nyanyua miguu liwe la kushoto ama kulia.
Mfano halisi wa pichaninavyo jiskia.

View attachment 2281992View attachment 2281993View attachment 2281994

1: Ningependa kufahamu ilifikiwaje conclusion kuwa tatizo ni hili? Maana nini kifanyike imategemea na chanzo.

2: kwa tatizo hilo:

Overview

Myofascial pain syndrome:
is a chronic pain disorder.
In this condition, pressure on sensitive points in your muscles (trigger points) causes pain in the muscle and sometimes in seemingly unrelated parts of your body(referred pain).
This syndrome typically occurs after a muscle has been contracted repetitively. This can be caused by repetitive motions used in jobs or hobbies or by stress-related muscle tension.

While nearly everyone has experienced muscle tension pain, the discomfort associated with myofascial pain syndrome persists or worsens.

Treatment options include:
physical therapy and trigger point injections. Pain medications and relaxation techniques also can help.

Symptoms
Signs and symptoms of myofascial pain syndrome may include:
Deep, aching pain in a musclePain that persists or worsens. A tender knot in a muscleDifficulty sleeping due to pain.

Causes
Sensitive areas of tight muscle fibers can form in your muscles after injuries or overuse. These sensitive areas are called trigger points. A trigger point in a muscle can cause strain and pain throughout the muscle. When this pain persists and worsens, doctors call it myofascial pain syndrome.

Risk factors
Myofascial pain syndrome is caused by a stimulus, such as muscle tightness, that sets off trigger points in your muscles. Factors that may increase your risk of muscle trigger points include:

Muscle injury.
An acute muscle injury or continual muscle stress may lead to the development of trigger points. For example, a spot within or near a strained muscle may become a trigger point. Repetitive motions and poor posture also may increase your risk.

Stress and anxiety.
People who frequently experience stress and anxiety may be more likely to develop trigger points in their muscles. One theory holds that these people may be more likely to clench their muscles, a form of repeated strain that leaves muscles susceptible to trigger points.

Complications
Complications associated with myofascial pain syndrome may include:

Sleep problems.
Signs and symptoms of myofascial pain syndrome may make it difficult to sleep at night. You may have trouble finding a comfortable sleep position. And if you move at night, you might hit a trigger point and awaken.

Fibromyalgia.
Some research suggests that myofascial pain syndrome may develop into fibromyalgia in some people. Fibromyalgia is a chronic condition that features widespread pain. It's believed that the brains of people with fibromyalgia become more sensitive to pain signals over time. Some doctors believe myofascial pain syndrome may play a role in starting this process.
 
Back
Top Bottom