kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 992
- 864
Mtifuano baina ya viongozi wawili wa mataifa ya DRC na Rwanda ambao mpaka sasa unasabishwa na madai ya serikali ya Congo kuishutumu Serikali ya Rwanda kuivamia Congo na kupora Mali zake kupitia kikundi cha M23.
Lkn mbali zaidi anashutumiwa kwa mauaji yanayosababishwa na M23 dhidi ya wananchi wa Congo.
Kwanini namuunga Kagame juu ya uporaji wa Mali za Congo kupitia M23 na siyo mauaji yanayosababishwa na M23.. Ni rahisi sana kimlaumu Kagame wakati mataifa ya Magharibi wao wanapora Mali za Congo na kuzipeleka nje ya Bara la Afrika kwa kuindeleza America na Ulaya lkn Kwa Kagame imekuwa shubiri.
Kwa muda wa miaka mingi Taifa la Congo ndio taifa pekee Afrika lenye vikundi vya waasi ndani ya nchi, na yote hiyo ni kwa ajili ya ukubwa wa nchi hiyo uliyojaa rasilimali nyingi sana kiasi kwamba nchi nyingine inaweza kuendesha budget yake kwa kutegemea kipato kutoka kwenye rasilimali za Congo tu.
Sasa basi ni vyema Kagame akawa muwazi na akaja na namna bora isiyokuwa na athari kwa wananchi wa Congo jinsi ya yeye kuvuna hizo Mali za Congo, kwa maana Congo ni Afrika na Rwanda ni Afrika, kulikoni ikavunwa na Mataifa ya Magharibi na kisha kuinufaisha Ulaya na Amerika.