Gari yangu ni raum, milango haifungi

MrFadhil

Member
Jun 2, 2021
9
14
Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni.

mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga mlango wa kuchoto kuna loki inajiingiza ambayo ni tofauti na ile ya kawaida katika kitasa, lakini sasa haijiingizi tena na inalia alarm katika dashbody pia inajionesha alama ya milango kuwa wazi, naomba msaada niifanyeje kufix?
 
Relay imekufa, kuna motor ndogo ambayo mlango ukijifunga inalock mlango wa mbele na nyuma, hiyo motor itakuwa imekufa, hivyo kila mlango ukifungwa lock inashindwa ku-engage, hivyo sensor kwenye dashboard inaonyesha mlango haujafungwa na kelele kama zote.

It'll cost you around 50k-70k to fix it pale ilala mtaa wa lindi.
 
Back
Top Bottom