Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya.
Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini.
Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick.
Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500.
Haohao...
Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu.
Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za kiislamu...
More than 500 protesters, including 69 children, have been killed, according to the Human Rights...
Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao.
Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai.
Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana.
Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara amekuwa akikwamisha baadhi ya vitu pale Simba. Tena wanaosema, wanaongea kwa kujiamini kweli.
Ni ngumu...
Habari wakuu,
Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia.
Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
Nadhani tunapotoka; Wote tumekuwa tukipigia kelele Mamlaka makubwa ya Rais (hilo ndio Tatizo), ndio maana nililaumu kipindi cha JPM kuamua yeye kama yeye na siyo wadau kuhusu miradi (eti Miradi ya JPM na sio ya Watanzania), au Taasisi ya Rais kufanya maamuzi ya Mahakama na siyo taasisi husika...
Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka.
Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa?
Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi.
Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu).
Hivyo...
Sisemi mengi.
Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari?
Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa.
Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa...
Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani.
Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi?
Kutokana na kuugua tatizo la...
Mwanzoni niliona ni attitude ya Muda tu lakini naona nimefika mbali zaidi! Hata nikisikia sauti ya kike inabisha hodi nashikwa na hasira tu. Ni mama tu ndiye huwa nawasiliana naye
Hili limekua ni tatizo kubwa sana.
Mdogo wangu ameenda kwenye usaili Dodoma mpaka muda huu saa sita usiku hana mahali pakulala, yeye na wenzake wametembea nyumba zote za wageni zimejaa.
Hivi hakuna utaratibu mwingine serikali inaweza kuufanya ili vijana wetu wasijazwe huko Dodoma.
Inaonekana...
Kuna jambo ambalo linasemwa lakini halijafanyiwa utafiri kamili, kwamba mara nyingi wanaume wenye sehemu kubwa za siri uwezo wao wa akili huwa ni wa wastani au unakuwa chini, hasa wanapokuwa wamesisimka (kuwa sexually aroused). Na inasemekana kwamba hili ni tatizo linalotokea kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.