Tatizo la Engine rough idle

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,111
173,928
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa.

Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya ajabu imejitokeza japo ilikuwapo ila kwa sasa imezidi. Sikuzote nilifikiri huenda ni transmission fluid imechoka, nikaweka mpya na kusafisha filter yake.

Nimeweka na oil mpya na filter ya engine. Engine inakimbia kwenye 1100 rpm ikiwa idle hata baada ya engine kupata joto vizuri. Ukiweka kwenye gear yeyote iwe R au D inarudi 600rpm. Ukiweka neutral inaanza kukimbia tena kwenye 1100-1200 rpm.

Shida inaweza kuwa nini maana plugs nazo nilibadilisha tayari. Kwa hio rough idle hata wese haliwezi kuwa linaenda sawa.
 
Daah leo balaa limemkuta fundi, mganga hajigangi aisee
 
Jaribu kubadili coil ikiiendelea inabidi upate mtaalam aweke machine thn awe anasoma datalist za ECM(control ya engine) na TCM(control ya gearbox) wakati unabadili gear anaweza gundua tatizo liko wapi. Au niletee garage hio chuma af tupige story mbili tatu,
 
Yanaharibika sana ila mantainance ni cheap na sahihi kwa mazingira yetu ya Tanganyika.

Mfano kama hilo tatizo lake limesababishwa na coil kuchakaa, coil nzuri atapata hata kwa 80,000@ dukani wakati angekuwa lets say BM hapo ingeweza kuwa hata 120,000@ to 250,000@ kutegemeana na aina ya engine.
German gari za kipato cha kati, Toyota kipato cha kawaida.. Au ingawa inategemea na Toyo ipi
 
Kwa nchi kama Nigeria ambapo inasemekana Toyota ni chache kuliko mjerumani bei zinageuka?
Sidhani kama kuna tofauti sababu gari za mjerumani hata same class in different editions hazifungiani spea. Bmw X1 ya mwaka 2005 , 90% parts haziingiliani na ya 2006 au zaidi. Ugumu ndio unakuja hapo.

Tofauti na Toyota ya 2003-2006 utakuta 90% ya parts zinaingiliana between editions.
 
True
 
German ni huku tu ndo mazingira yanasababisha iwe gharama ila kununua ni cheap kuliko Toyota. Mfano Toyota harrier ni expensive kuliko BMW x3 kwa miaka inayofanana.
Haya tuambie Radiator ya X3 ni shilingi ngapi? Bila kusahau water pump yake..hapo kama hauna 1.7m haupati hivyo vitu...
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom