tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais tatizo halipo kwenye Elimu na mitaala

    Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya. Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini. Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick. Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500. Haohao...
  3. JamiiForums Tanzania Hadi sasa wananchi 500 wameuawa Iran, ila maandamano yako pale pale

    Serikali inaendelea kuua wananchi kwa kile inadai kumpigania Mungu, ila maandamano yapo tu. Yote hii ilianza baada ya mwanamke kuuawa kisa nywele zilichomoza kichwani dhidi ya sheria za kiislamu... More than 500 protesters, including 69 children, have been killed, according to the Human Rights...
  4. JamiiForums Tanzania Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo

    Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la wataalamu

    Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli Barbara Gonzalez ni tatizo Simba

    NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana. Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara amekuwa akikwamisha baadhi ya vitu pale Simba. Tena wanaosema, wanaongea kwa kujiamini kweli. Ni ngumu...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia. Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kutokufanya bali ni kufanya maamuzi

    Nadhani tunapotoka; Wote tumekuwa tukipigia kelele Mamlaka makubwa ya Rais (hilo ndio Tatizo), ndio maana nililaumu kipindi cha JPM kuamua yeye kama yeye na siyo wadau kuhusu miradi (eti Miradi ya JPM na sio ya Watanzania), au Taasisi ya Rais kufanya maamuzi ya Mahakama na siyo taasisi husika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa huna haja ya Kuwasumbua Watafiti wa Chuo cha Michezo Malya, bali tatizo ni hili...

    Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka. Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuliotukanwa hapa tuliposema kuwa Simba SC kuna Tatizo Kubwa tunaomba Kuombwa Msamaha

    Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa? Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  15. JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa ujumla wake tuna tatizo la uongozi ngazi zote

    Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa. Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbinu za kuondoa tatizo la kutokupata usingizi wa kutosha

    Mwaka 2017, mtafiti wa mambo ya usingizi Dr. Tomath Roth aligundua kuwa tatizo la kukosa usingizi wa kutosha (Insomnia) linaweza kuathiri kiasi cha theluthi moja ya watu wote duniani katika muda fulani. Ni kweli kuwa baadhi ya watu huwa hawapati kabisa usingizi? Kutokana na kuugua tatizo la...
  18. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuwachukia wanawake wote

    Mwanzoni niliona ni attitude ya Muda tu lakini naona nimefika mbali zaidi! Hata nikisikia sauti ya kike inabisha hodi nashikwa na hasira tu. Ni mama tu ndiye huwa nawasiliana naye
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la macho: kuwasha sana na kuuma unapotumia vifaa vyenye mwanga au juani

    .
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la wasailiwa kulala nje siku za usaili Dodoma

    Hili limekua ni tatizo kubwa sana. Mdogo wangu ameenda kwenye usaili Dodoma mpaka muda huu saa sita usiku hana mahali pakulala, yeye na wenzake wametembea nyumba zote za wageni zimejaa. Hivi hakuna utaratibu mwingine serikali inaweza kuufanya ili vijana wetu wasijazwe huko Dodoma. Inaonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…