Tanzania kwa ujumla wake tuna tatizo la uongozi ngazi zote

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,605
8,744
Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa.

Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa biashara kuliko wengine ? Kwanini wapemba, wapare na wachagga wanatabia za ujasirimali kuliko wengine. Kwanini wasukuma wana tabia ya uchapa kazi kuliko wengine?

Je, tufanyaje kama jamii kuigana kwa mazuri na kuacha mabaya kwenye jamii zetu.

Je, wenzetu wa pwani tabia ya uongo ulio tukuka kama kule bagamoyo unatusaidia kweli au una nyima furuksa?

Je, jamii ambazo kuna ndoa za utotoni tuzisaidie vipi?


Tanzania bila kujali vyama kuna mambo ambayo tungeweza kurekebisha kwenye jamii zetu badala ya kubaki kutambiana kikabila au uwezo. Kabla hatuja weka ukabila, udini ni lazima tukubali mapungufu yetu kwenye jamii na kurekebisha. Mbowe hapa kasema ukweli



Zitto Pascal Mayalla
 
Yeye Mbowe kukusanya bilioni 10 ya ruzuku ya chama anaona ni sawa?..
Haoni tatizo Hilo kwake?
 
Back
Top Bottom