tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  2. JamiiForums Tanzania Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

    Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito. Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

    Anaandika Ezekiel Kamwaga: Tuwe makini Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’...
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

    Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini. Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.
  6. JamiiForums Tanzania Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
  8. JamiiForums Tanzania Kama hatutaki ushoga tuzingatie Sheria za Mungu

    Tatizo la ushoga ni kwamba mashoga wakiwa wengi sana, inakuwa vigumu kuwathibiti, kwa hiyo sheria inabidi zibadilishwe. Kwa sababu unamtuma polisi akamkamate shoga kumbe polisi mwenyewe ni shoga. Unamwamuru hakimu amhukumu shoga, kumbe hakimu mwenyewe ni shoga. Basi ndio unashindwa, inabidi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya N-card Kivukoni Kigamboni siyo shirikishi; yanafyeka salio la wananchi kimya kimya. Fanyeni hivi kuondoa tatizo

    Matumizi ya Card kwenye vivuko ni mazuri lakini yamekuja na changamoto ya kuibia wananchi pesa zao kielektronikia! Nauli ya kivuko ni tsh 200 kwa watembea kwa miguu, na elfu 1500 au 2000 hata zaidi kwa magari! Pesa hiyo hukatwa unapochanja (scan)! ZIFUATZO NI BAADHI YA CHANGAMOTO 1. Yapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la madawati mashuleni

    Natamani Waziri Mkuu atangaze kila wilaya/Mkoa umalize hii kero ya upungufu wa madawati; Watoto wanateseka jamani..... Wiki iliyopita nikiwa Kisaki/Kilosa, nilipita shule inaitwa Kichangani shule ya msingi, yenye wanafunzi takribani 850 huku ikiwa na madawati kama 40hivi tu pengine niseme ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nina kinyongo na chuki kali sana. Je, hili ni tatizo?

    Mimi ni mtu mwenye kinyongo kikali na mtu akinitendea ubaya nina tatizo la kumuweka moyoni miaka hata ipite miaka kumi. Baba yangu ni mtu mwenye imani sana ya dini na huwa ananishauri sana kuwa niwe mtu wa kusamehe lakini mimi huwa nashindwa kusamehe yaani mpaka nihakikishe nimelipa kisasi au...
  12. JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wazee na wanawake wa miaka 45+ kuongezeka kwenye kamari (kubeti) tatizo ni nini?

    Habari za asubuhi wana JF, Kuna wimbi kubwa mtaani la wazee na wanawake kujiingiza kwenye kamari (kubeti), tatizo umasikini au ndio maendeleo ya soka nchini? Nakumbuka World Cup last year kila mtu ni kubeti tu, ukikutana na wazee, wanawake wa mtaani wanataka uwafundishe kubeti na wakisikia...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

    Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja. Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa? Mnatukosea sana.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi sina imani au tatizo ni lipi?

    Mimi ni kijana umri miaka 28 ni mtoto wa kwanza kwenye familia ya watoto 6, naishi Dar es Salaam, elimu yangu ya diploma zaidi ni jobless pia muumini wa dini ya kiislamu. Kimsingi nimeandika uzi huu kutaka kujua situation ninayoipitia ipo based kwa ulimwengu mzima au mimi pekee! Binafsi...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta hii tiba ya hili tatizo langu la macho na pua

    Habari wakuu. Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi. Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kula nyama ina tatizo gani kiafya?

    Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi. Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine wanaendaga mbele zaidi na kutuambia tusile nyama badala yake tule maharagwe. Hivi utamu wa nyama...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, mchezaji wa zamani wa Mamelodi apata matatizo ya akili

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundowns Khayelihle Shozi kwa sasa anapitia tatizo la ugonjwa wa akili. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipitia Katika timu za vijana ya Mamelod Sundowns na kupandishwa hadi timu ya wakubwa, Khayelihle alipotea kwa mara ya kwanza mwishoni mwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kufinyia kwake kwa ndani huenda sambamba na utoaji wa shuzi, tatizo nini hapa wadau?

    Salaam waungwana! Nina kamchepuko kangu ambako tunapendana vizuri tu (kwa hali zetu, ananivumilia, namvumilia). Huu mchepuko ni mmoja kati ya wale wa kina dada wa kileo wanaoamini katika ufinyiaji kisawasawa wa ndani ili kumsatisha mwenza. Tukikutana, ndani ya dakika tatu zangu za kulast (rejea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…