tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo mfumo wa uhakiki wiki ya nenda kwa usalama

    Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired. Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka Jeshi la polisi au kwa wale waliolipia kuanzia mwezi January na kuendelea mfumo hautambui ?
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekatazwa asicheze na mimi utotoni, leo anashangaa maisha ninayoishi. Tatizo halikuwa mimi, bali namna alivyolelewa

    Habari wana JF. Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake: "Usicheze na yule mtoto." "Huyo atakufundisha tabia mbaya." "Usiende kwao." Lengo mara nyingi huwa ni jema. Wazazi wanataka kuwalinda watoto wao wasiharibiwe na mazingira. Tatizo...
  3. JamiiForums Tanzania Watu wengi hudhani Customer Care nzuri ni kuwa mnyenyekevu kwa wateja. Ukweli ni kwamba Customer Care ni uwezo wa kutatua tatizo la mteja.

    Happy Thursday wana JF. Katika somo la maadili tunafundishwa umuhimu wa kuwa na heshima, unyenyekevu, uvumilivu na lugha nzuri. Haya ni maadili muhimu sana iwe ni nyumbani, kazini, kwenye biashara au taasisi yoyote. Lakini kuna sehemu moja watu wengi wamechanganya sana. Wamedhani Customer Care...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  6. JamiiForums Tanzania Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

    Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
  7. JamiiForums Tanzania Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

    Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa.. Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mtoto mwenye uwaraza

    Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike. Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kuchochea tatizo la kuzidi kwa acid tumboni

    1.��️ Uvutaji wa sigara 2.��️ Unywaji wa pombe 3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk 4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa 5.��️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana. 6.�� Kutumia baadhi ya Madawa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

    Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna tatizo kama ni kweli

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana juu ya uongozi wa juu wa chama. Shutuma za ubadhilifu wa rasilimali fedha ndani ya chama. Huu ni ushuhuda kutoka kwa mmoja wa viongozi wa chama mkoa wa Kilimanjaro. Tujadili wana Jf --------------- Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Mwanga, Mkoani Kilimanjaro...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu wana tatizo moja ndio maana Yesu alikataa kuwapa nafasi japo walijifunza mengi.

    Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri baada ya kufa hata hawa elewi wanaanza kusifia samia. Kesho hakija mtu mwengine hata kwa mapinduzi...
  14. JamiiForums Tanzania Si kila tatizo linahitaji kumweleza Mtu!

    Katika dunia tunayoishi leo, si rahisi kupata msaada wa kweli wa kihisia kutoka kwa watu Mara nyingi mtu anapokuwa na changamoto hutamani kuonewa huruma kuambiwa maneno ya faraja, kushikwa mkono, kusaidiwa kifedha au hata kusaidiwa kwa vitendo Kwa kawaida, msaada huo unaweza kuupata kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kufanikiwa tatizo polisi

    Kimsingi kupitia elimu ngumu sana kufika pale unapotaka, je unadhani njia zipi za kutoboa tobo bila kujali vyombo vya usalama nichukue hatari huko.
  16. JamiiForums Tanzania Je tatizo ni watu au mfumo?

    Hivi ni kweli ni rahisi kulalamika ukiwa nje ya mfumo eti kwa sababu wewe si mnufaika wa moja kwa moja? Kwa mfano, unaweza kusema mtu fulani ni fisadi. Lakini je, ukipewa nafasi ya huyo mtu, una uhakika kwamba na wewe hutageuka kuwa fisadi? Mfano👇 Mtu asiye na kipato anaweza kuapa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu; Kama wanaharakati ni tatizo, kwanini wanaowaua waandamanaji hawakamatwi?

    Tangu yalipotokea machafuko ya Oktoba 29, 2025, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesikika mara kadhaa akiwalaumu wanaharakati hasa wanaoishi nje ya nchi, akidai kuwa wao ndio waliochochea na wanafanya hivyo kwa kuwa wanalipwa fedha na mataifa waliyokimbilia. Miongoni mwa kauli hizo ni ile aliyoitoa...
  19. JamiiForums Tanzania Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  20. JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuleta mada kuwa balozi za tanzania hakuna msaada watakao kupa.Ukipata tatizo pambana wewe mwenyewe.

    Shida kuna machawa hapa wa CCM hata kuvuka burundi wameshindwa. Huu ni ushaidi kuwa balozi zetu siku kikinuka pambana wewe. Mfano tumeona africa ya kusini pale balozi zao zikifanya jitihada kuwatoa raia wao. Ila haoa tz ndo kwanza wanatangaza Amani na kudai vikosi vya kuvunja amani vipo nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…