Hivi hili tatizo la mtoto kua na ulalavi(kugalagala kitandani) ni ugonjwa,au ni tabia ya kurithi mana sasa anaenda mwaka wa 5(yaani anatimiza miaka 5)lakini habadiliki bado nifanye nini Mimi ili abadilike.
Mwanzo akati mchanga nilijua akikua kua atabadilika lakini ndo kwanza anazidisha ukimulaza peke ake lazima umkute uvunguni kadondoka,pia ukilala nae ni full mateke,mara kakulalia wewe,kakuwekea miguu yaani ni vurugu match ata silali Kwa Raha nikapumzika.
Yeyote ambae alishawahi kua na mtoto mwenye shida kama hii alifanyaje fanyaje mpaka likaisha wakuu.