tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Izato

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umekutana na mtu aliyepotea, mwenye tatizo la afya ya akili; utamsaidiaje ili kuwapata ndugu zake?

    Kuna video clip huwa zinasambazwa zenye kuonesha watu wenye matatizo ya akili ambao wamepotea au kutojielewa kwa wakati huo. Video hizo huonesha mahojiano kati ya mwenye tatizo na mchukua video. Je, ni sahihi kufanya hivyo? Je, ikitokea sasa mwenye hili tatizo akawa sawa, na kuiona video hiyo...
  3. Tim VancanPRO

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mboga za majani aina ya Chainizi husababisha upungufu wa Nguvu za kiume

    Kumekuwa na Madai ya kwamba matumizi ya mboga za majani aina ya chainizi yamekua na madhara katika ufanisi wa tendo la ndoa kwa wanaume. Kuna ukweli gani katika hilo suala? Naomba nijibiwe kitaalam niweze kuelewa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tatizo la Afya ya Akili linapaswa kuchukuliwa kwa umakini ili kuokoa maisha ya vijana

    Afya ya akili ni ule uwezo wa mtu kuweza kuendana na Hali ya maisha ya Kila siku kuanzia kufiri Hadi utendaji wake wa kazi. Inapokuwa ni tatizo la afya ya akili,hapo akili inakua imeathiriwa mfumo wake wa utendaji kazi,mfumo wa maisha na hata tabia hubadilika. Tatizo hili limekua ni mwiba kwa...
  5. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Jackson Mmari: Tatizo la Rushwa linaanza na Mtazamo wa Mwananchi mwenyewe

    JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni viongozi wengi hawana uzalendo wa kweli

    Tanzania viongozi wengi wanaenda kwa mazoea na siasa wanaona kama biashara binafsi. Wananchi wengi wanatambua sasa kwamba viongozi wengi badala ya kuangalia nchi kwanza wanaangalia famila zao kwanza na kutafuta jinsi ya kujilimbikizia mali. Kitendo cha kununua magari ya zaidi ya milioni 300...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  9. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ni kitu gani hiki vodacom wanafanya?

    Nimeweka pesa kwa wakala, Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika. Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja. Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?
  10. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za vocha latua TCRA

    Baada ya jambo hili kuliweka hapa jukwani, TCRA limewafikia sasa wabapokea taarifa kutoka maeneo tofauti nchini kuhusu bei za vocha za simu. Pia soma > Vocha za mitandao tofauti Kagera zauzwa bei ya juu
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  12. Mr Suprize

    JamiiForums Tanzania Simu kujirudia kutuma SMS moja tatizo NI nini?

    Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi Habari Habari Habari Habari Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msuya na Warioba: Tatizo la dira 2050 ni siasa

    Mawaziri wazee wetu wastaafu wote Warioba na Msuya wamesema tatizo kubwa la Dira yetu ya taifa ni kutokuwa na mfumo wa siasa wa kueleweka. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa na mifumo ya vyama vingi lakini wakati huohuo serikali hiyo hiyo ndiyo wanaongoza kuharibu chaguzi zetu na kusumisha mfumo wa...
  14. Hofajr16

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya vyoo Tanzania: Tatizo lipo vichwani na si mifukoni

    Siikumbuki jina la clip. Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua simu ya gharama kubwa wakati choo hakina maji. Siyo Watanzania wote, lakini wengi wanaweza wakaangukia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  18. Room 28

    JamiiForums Tanzania Je, najuaje kama nina tatizo la Homa ya Uti wa mgongo (Meningitis)

    Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam bila tatizo la foleni 2030 inawezekana

    Foleni!! Foleni! Huu ni wimbo miaka nenda Rudi kwa miaka sas kwa jiji la Dar es salaam, japo jitihada mbali mbali zimefanywa na vingozi mbali mbali kujenga miundombinu kwajili ya ktatua ama kuondoa tatizo hili lakini imeshindikana. Lakini viko Vitu tunaweza kufanya nikasaidia kwa miaka ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
Back
Top Bottom