tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Badala ya watu kulalamikia uzembe wana ridhika na uzembe

    Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa. Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
  3. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Ujuzi wa kutambua tatizo kwenye code zako ni muhimu

    Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali ID yangu hii isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili za Usiku wa Leo tarehe 8 August,2024 basi jueni kuna tatizo Kubwa la Mtandao huku niliko

    Nimeamua kutoa mapema tu Taarifa hii ili ID yangu isipoonekana kuanzia Saa 3 Kamili ya Usiku wa Leo msinishangae.
  5. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Manzi wangu nimemfukuza ghetto ila tatizo kagoma kuondoka je nifanyeje?

    Wakuu..mimi ndugu yenu ninaombeni ushauri na msinichoke,muda huu ninavyoandika nikielezea hali inayonisibu sasa hivi na ni live sio kama naota. Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa wachangiaji wa uzi wangu wa mrejesho uliopita kwa kuyafanyia kazi mawazo yao na miongozo yao walionipatia na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kofia Mbili, Mwenyekiti Chama na Rais wa JMT ndio Lipo Hapa.

    Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hapa nilipo mtu mwenye voda akinipigia simsikii, ila yeye ananisikia, tatizo hili lipoje? Natumia Airtel

    Tatizo ni mahali nilipo mnara wa Airtel unasumbua au wa Voda au nini? Mitandao mingine tunasikilizana vizuri.. Msaada
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Namba zilizotumwa za umeme (token) haziingizi umeme kwangu

    TOKEN: 27778552013299055812 UNITS:8.4KWh, MITA: if required, TSh3,000 VAT 18% : 442.62, Umeme huu hauingii TANESCO
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  15. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata changamoto ya Kupata Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kwanza mimi sio muandishi mzuri, mtanisamehe kwa uandishi wangu. Tatizo lipo mwezi uliopita nilichukua mkopo kwenye Benki ya NMB kutokana na matatizo niliokuwa nayo. Baada ya mwezi mmoja, nikarudisha deni lote. Baada ya hapo, nilitaka kuchukua...
  16. 2019

    JamiiForums Tanzania Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  19. lugoda12

    JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  20. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nina Tatizo la kugairisha mambo/mipango (Procrastination)

    Nimegundua nina Hili tatizo la kugairisha mipango yangu ninayopanga baada ya mda flani. Yaani naweza nikawa na mipango thabiti kabisa juu ya jambo flani ambalo ukiangalia Kwa mda huo nikilifanya linaweza kuniletea faida kubwa saana au kupiga hatua kubwa saana katika maisha ila Kwa bahati mbaya...
Back
Top Bottom