Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini?
1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko.
Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao.
Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
Nimeona Makonda akisema madereva wapatiwe pasipoti kwa gharama za Mhe. Rais nikashtuka sana kwamba nchi ina viongoz wasiojua tatizo la watu wake
Nchi ya Zambia ukiingia kama dereva kwa kutumia pasipoti kubwa ya Tanzania unalipishwa zaidi ya milioni moja kama gharama za vibali. Hii kero hata...
Ni kero kutwa nzima hakuna umeme na bado usiku mnakata tena umeme na hali hii ya joto Dar es salaam. Hakuna taarifa wala nini unakuta hakuna umeme.
Mmetulaza giza usiku kuamkia leo na sasa mmekata tena umeme . Hali hii tuishi nayo mpaka lini? Mbona mvua mikoani zinanyesha Morogoro mvua kubwa...
Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari.
nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza mwenyewe nikamwambia acheck damu na maji akadai atanicheck mpaka jumatano- week ijayo
kama mnavyojua...
Habari wanaJF.
Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe.
UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.
SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za...
Wakati akina mwenzangu na Mimi bado wapo gizani waki ji stress kutafuta hela za kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za English Mediums ili waje wapate ufaulu mzuri secondary ili wafike Chuo kikuu ili wakimaliza Chuo kikuu wawe marketable kwenye soko la ajira ( a very stupid mission), akina...
Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
Je, bado kuna shida ya kukatika kwa umeme au maji!?
Je, mwenezi Maul Makonda amepita eneo lako!?
Je, shida zako zimetatuliwa!?
Umati huu ulimfananisha mwenezi Paul Makonda na hayati Rais Magufuli, je wewe una maoni gani!?
Je, umefarijika na ziara anazofanya mwenezi paul makonda kutatua...
Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara?
Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu?
Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo
Anza sasa...
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly?
Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea.
TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita.
Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
Huu ni muda wa kuambiana ukweli ndugu zangu.
Hivi sisi watu weusi hata waafrika tatizo kubwa ni nini hasa hapa duniani mbona tumeganda kama kwenye barafu ? Tupo nyuma nyuma tu kwa mambo mengi huku hao wanao onekana wenzetu wakituacha mbali.
Yaani sisi kwa vitu vingi tuna kimbizwa na hawa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.