tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Tatizo la Overproduction; Where do we Go From Here..... (A Chinese Case Study)

    Pre-amble: Naongelea Dunia kwa Ujumla na Sio Nchi / Taifa Ni kawaida kwenye Ubepari kutokea tatizo la overproduction; na hili likitokea wazalishaji wanapunguza uzalishaji jambo ambalo linasababisha uchumi wa wakati huo kushuka na matatizo ya ajira... Kinadharia Over Production inasababisha...
  2. Planet Data bundles

    Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  3. BabaMorgan

    Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  4. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Tanzania haina tatizo la ajira, ina tatizo la vipaumbele vya tuliowapa dhamana ya uongozi

    Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana. 1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini...
  5. K

    PreGE2025 Kama haukubaliani na Warioba kwenye hili jiangalie wewe ndiyo tatizo!

    https://youtu.be/aGuiTB1XX_0?si=sFKk6zISM0uq2XBb Wakati maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025 yakiendelea, Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Warioba amesema makundi mawili yanayosigana juu ya uhuru na haki yanapaswa kukutana na kukubaliana kwanza kabla ya kuingia kwenye...
  6. Tankile

    Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  7. BARD AI

    Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
  8. jerryempire

    Serikali isilifumbie macho suala hili la Watanznia kuwa na Wagumba wengi

    Habari,
  9. Erythrocyte

    Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
  10. THE FIRST BORN

    Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  11. T

    Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  12. C

    Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  13. GENTAMYCINE

    Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Hakuna Timu ambazo Naziogopa hasa zikifika katika hatua ya Robo Fainali kama za Al Ahly na Mamelodi Sundowns FC. Ninadhani tumeelewana vyema tu.
  14. MALCOM LUMUMBA

    Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  15. TODAYS

    LATRA simamieni Utekelezaji wa Nauli za Daladala hasa za Ruti mpya, Wananchi hatuna Mtetezi tunateseka

    Mamlaka inayosimamia usafiri wa nchi kavu nchini Latra, imetangaza njia mpya katika mikoa ya Dar, Dodoma na Arusha. Kwa Dar Es Salaam njia hizo ni Bunju sokoni hadi Kivukoni na Bunju hadi gerezani, njia nyingine ni Bunju sokoni hadi Magufuri Bus Terminal, nk. Kwa Arusha kwa mromboo hadi Fire...
  16. Not_James_bond

    Kushuka kwa thamani ya Tshs dhidi ya USD tatizo ni nini?

    Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
  17. Melvine

    Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  18. kavulata

    Tatizo la Makocha wazawa Timu ya Taifa ni Malezi yao Mabaya

    Malezi anayopewa mtu utotoni kwenye mambo na matukio mbalimbali ndani ya familia, jamii na taasisi mbalimbali kama za kidini, shule na mpira vina uhusiano mkubwa na tabia na ufanisi wa mtu huyo wakati wa utu uzima. Kama utotoni ulipigwa sana kuna uwezekano mkubwa na wewe kuwa mpigaji wa watoto...
  19. Bushmamy

    Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

    Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani. Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa...
  20. B

    Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

    Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing Skills nilizonazo :- 1. Html, CSS 2. Javascript 3. PHP & laravel framework 4. Python & Django...
Back
Top Bottom