tata

Tata (German: Totis), (Latin: Dotis) is a town in Komárom-Esztergom county, northwestern Hungary, 9 km (6 mi) northwest of the county town Tatabánya.

View More On Wikipedia.org
  1. Bufa

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata ya Mkuu wa Majeshi kwa Wakimbizi

    Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi? Wakimbizi wakishakua raia by...
  2. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, CCM waanza kutoa kauli tata

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa. Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao...
  3. Ezeki62

    JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

    katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
  5. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Naomba ABC za hii gari aina ya Tata

    Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari. Mahitaji yangu ni Gari yenye kubeba Tani 15 Gari inayo himili njia ngumu rough road Gari inayo himili milima mikali Ipaende na mzigo tani15
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

    1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo? Mtoto: Lakini mama...... Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea? 2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia uchelewe sasa ole wako uchelewe) 3. Baada ya kumuogesha mtoto eti anamwambia halafu ukajichafue tena...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  8. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!

    Nimeamua kuwadokeza watanzania jambo hili. Kujua chimbuko ni mwanzo wa kujua suluhisho la tatizo, kama lipo. Kwa ubobevu wangu kiutumishi serikalini na chamani, nimefuatilia na kujua chimbuko la mkataba huu 'tata' wa bandari kati ya Serikali yetu na ile ya UAE ikiwakilishwa na kampuni ya DP...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kujadili kauli tata za Balozi Karume

    Vuguvugu la mpasuko limeendelea kufukuta visiwani Zanzibar baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuahidi kufanya uchambuzi wa kauli mwanasiasa na mwanadiplomasia, Balozi Ali Abeid Karume kuhusu viongozi wa chama hicho kukosa uhalali wa wananchi kuongoza Zanzibar. Ali Karume aliyegombea mara...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tume yatua Kilimanjaro uchunguzi kifo tata cha Nusura

    Moshi. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania (THBUB) imebisha hodi mkoani Kilimanjaro kufanya uchunguzi huru juu ya kiini cha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah. Taarifa zilizopatikana jana zilisema tume hiyo iliwasili katika Mji wa Himo Mei 26 mwaka huu...
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Dhana Tata "Forbidden knowledge na Forbidden Archeology"

    "Forbidden knowledge"ni maarifa au habari ambazo haziruhusiwi kufikiwa au kutumiwa na watu fulani au kundi la watu kwa sababu za kisiasa, dini, kimaadili au kulinda siri za kibiashara. Habari hizi zinaweza kuwa hatari kwa wale wanaozitumia kwa sababu zinaweza kusababisha madhara au kuhatarisha...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner

    Katika nchi zilizostaarabika kifo cha mtu huhitimishwa kwa postmortem (kujua kamili chanzo cha kifo) na inquest ambapo ofisi ya Coroner huhhsika. Kifo hakiishii na mambo ya tiba peke yake. Mtu anaweza kuwa alikuwa mgonjwa mahututi hospitali, lakini kafa kwa sumu au hata kuchomwa kisu huku akiwa...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  15. jastertz

    JamiiForums Tanzania Mhubiri Paul MacKenzie alianzaje safari tata ya kuwashawishi watu kufunga hadi kufa?

    Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama. Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni. Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gari aina ya Tata Ace

    Salamu waungwana. Naomba kuuliza kuhusu gari inayoitwa Tata Ace, cc650, kuhusu upatikanaji wa spea na umadhubuti wake, uwezo wake. Dhidi ya Suzuki Caryy. Naomba kuwasilisha
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Buyungu - Kauli Tata za Waliowahi Kuwa Wabunge

    WanaJf, Salaam! Naenda moja kwa moja kwenye agenda. (a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi." (b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa akiwaambia wapigakura kuwa "nyani hali kilichopikwa." (c). 2020 - Mbunge amenukuliwa akisema kuwa...
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Mtakatifu Paulo, ulaghai wa kutumia misamiati tata, na umachiaveli

    Kwenye piramidi la vitu vyote vilivyo katika ulimwengu wa miili sisi wanadamu tumeketi kileleni kwa sababu ya urazini wetu. Katika mipaka ya utambuzi tuliyozaliwa nayo kama wanadamu, tunao uwezo wa kuvuna maarifa kutoka katika mazingira yetu, kufikiri kimantiki, kuteua malengo, kubuni mbinu kwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
Back
Top Bottom